Recent content by Huey P jr

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

    Kama kuna anayefikiri uzalendo ni kufumbia macho masuala haya basi huyo na amuunge mkono Magufuli kwenye upofu wake wa kujitakia.Over
  2. H

    JamiiForums Tanzania Je, wajerumani ni aliens?

    Je unajua wakerewe ni watu wa kwanza kuishi ujerumani
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kahama: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga azuiwa kuingia mgodi wa Bulyanhulu

    Yani viongozi wa Tz ni wanashangaza sana yani kukurupukakurupuka tu kutafuta sifa yani kwao matukio ni fursa
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Ugaidi Mahesabu kwangu yanakataa!

    Kumbuka kuna uchaguzi pale U.K na kuna hati hati pro EU wakashinda so unaweza ukawa ni mpango maalum ili pro Brexit wapate nguvu rejea shambulio lililotokea France siku tatu kabla uchaguzi lengo lilikuwa kumfavor Le pen ila watu wakasanda
  5. H

    JamiiForums Tanzania Trump ana chuki na Obama au anania njema na Wamarekani?

    Hana lolote ni mbaguzi tu na wabaguzi ni watu walioathirika kisaikolojia na ndio maana hawashindi huku ulaya ukimfanyia mtu kitendo cha ubaguzi mbele ya watu utajuta kuzaliwa jinsi utakavyozodolewa na ikibidi kuitiwa polisi na wazungu haohao
  6. H

    JamiiForums Tanzania PICHA:Kikosi Maalumu cha Makomando US, waanza mazoezi ya Kuvamia na Kuharibu Silaha za Maangamizi NK

    Nomaa hao jamaa alafu wakibongo wakivunja matofali mnawabeza
  7. H

    JamiiForums Tanzania PICHA:Kikosi Maalumu cha Makomando US, waanza mazoezi ya Kuvamia na Kuharibu Silaha za Maangamizi NK

    Nomaa hao jamaa alafu wakibongo wakivunja matofali mnawabeza
  8. H

    JamiiForums Tanzania Rais Mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron amteuwa Edouarde Philippe kuwa Waziri Mkuu

    Ni lazima angeenda kwa Merkel sababu France and Germany ndio wakubwa wa EU sasa ulitaka aende wapi Hungary?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Rais Mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron amteuwa Edouarde Philippe kuwa Waziri Mkuu

    Nnachomkubali jamaa pro business na ana nia ya kuibadilisha France kuwa nchi ya kibiashara zaidi kwa kuvutia uwekezaji na kuthibitisha hili amechukua hatua ya kupunguza kiwango cha kodi kutoka asilimia 35% mpaka 25% ili kuvutia wawekezaji mabenki na makampuni na ndio maana waingereza sasa hivi...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Trump afanikiwa kubadilisha huduma ya Obamacare Bungeni

    Kweli kabisa hilo ni tatizo la watu wengi ambao marekani ndio inakuwa nchi yao ya kwanza kufika wanaona hakuna nchi kama ile ila ukweli ni kwamba serikali za nchi za ulaya Australia na Canada ziko juu sana kwenye nyanja nyingi kihuduma kwa wananchi wao kuliko U.S
  11. H

    JamiiForums Tanzania Trump afanikiwa kubadilisha huduma ya Obamacare Bungeni

    Wamarekani wamezidi ubepari yani U.S ndio kwenye reality ya Capitalism ndio Maana always nawakubali wafaransa when it comes to social services they are the best
  12. H

    JamiiForums Tanzania Trump afanikiwa kubadilisha huduma ya Obamacare Bungeni

    Hivi Obamacare ina ubaya gani? mbona inachukuliwa na Trump kuifuta ni kama ukombozi flani ningependa mtu yeyote mwenye kuelewa kiundani anieleweshe pls. Maana nnavyojua huku ulaya huduma ya afya ni bure kila mtu lazima awe na bima ya afya nashangaa inakuaje ni kitu kibaya kwa U.S
  13. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tunapaswa kuanza kutengeneza zana zetu za kijeshi kuanzia sasa kama Taifa

    Hahahahahah Hahahahahahah wabongo bana hamkosi maneno
  14. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tunapaswa kuanza kutengeneza zana zetu za kijeshi kuanzia sasa kama Taifa

    Wazo zuri ila ni muhimu tuanze na zana za kilimo kwanza
  15. H

    JamiiForums Tanzania Marekani kufanya jaribio la kombora lake kubwa la Nyuklia

    For real life is not fair ndio maana polisi anaruhusiwa kumiliki silaha na raia hauruhusiwi bali kwa masharti
Back
Top Bottom