Rais Mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron amteuwa Edouarde Philippe kuwa Waziri Mkuu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,411
Rais mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron siku yake ya kwanza Ofisini amemteua Ndugu Edouarde Philippe mwenye miaka 46 kuwa Waziri Mkuu mpya wa Taifa hilo.

Uteuzi huu umetoa ishara kuwa Rais Macron amepanga kuunda serikali itakayosheheni Vijana wa kisasa zaidi.

=======

Emmanuel Macron, France's new president, has named Edouarde Philippe, a 46-year-old centre-right politician and lawyer, as prime minister.

Macron announced Philippe's appointment on Monday, his first day in office after his inauguration on Sunday.

Philippe has been a member of the Union for a Popular Movement and later the Republicans. He has also served as a member of the National Assembly.

By picking him, Macron, a centrist, has sent a signal to attract other young modernisers from the Republicans to his new centrist party, La Republique En Marche (Republic on the Move or REM), which will contest parliamentary elections in June.

Macron,a former minister and investment banker, was elected as the country's youngest-ever leader since Napoleon on May 7.

Source: Al Jazeera
 
Kwanini Mkuu. Maana sifa zake zinasikika hadi miisho ya dunia wengine wakipaaza sauti Obama wa Ulaya kapatikana.
Obama hakuwa Rais mzuri alikuwa mtu mzuri na Rais wa kawaida kabsa.
Macron sijaona kama sera zake ni mpya ki hiivo, pia ni rais ambaye hana mbunge hata mmoja kutoka chama chake, sasa sjajua serikali yake ata iendesha vipi, lakin pia alichaguliwa kwa kuwa tu hakukuwa na mgombea mwingine wa maana, so nadhan ana kazi ya ku prove.
 
"...mgombea mwingine wa maana..." Unamaanisha nini?kwamba kwa wagombea wote hakuna aliyekuwa anafaa kuwa raisi?kwa vigezo na sifa zipi kadiri unavyoona?
 
"...mgombea mwingine wa maana..." Unamaanisha nini?kwamba kwa wagombea wote hakuna aliyekuwa anafaa kuwa raisi?kwa vigezo na sifa zipi kadiri unavyoona?
Chama cha Hollande-socialist party kilikuwa kisha jichokea kwa kuwa Hollande mwenyewe hapendi mpaka ameondoka Ikulu watu wakiwa wana mzomeaga.
Republican Party, alikuwe Francois Fillon, huyi ilikuwa ni zamu yake kabsa kuwa Rais, ikatokea skendo ya rushwa kwake na matumizi mabaya ya madaraka ndio aka poteana
kuna Chama Cha Le Pen, huyu yeye alikuwa ni anti-eurozone na anti-immigration candidate na wafaransa walikuwa hawamtaki.

Macron ndio akawa kama kijisuluhisho kilicho baki, chama chake ni kipya, so hana nguvu yyte bungeni.
 
Obama hakuwa Rais mzuri alikuwa mtu mzuri na Rais wa kawaida kabsa.
Macron sijaona kama sera zake ni mpya ki hiivo, pia ni rais ambaye hana mbunge hata mmoja kutoka chama chake, sasa sjajua serikali yake ata iendesha vipi, lakin pia alichaguliwa kwa kuwa tu hakukuwa na mgombea mwingine wa maana, so nadhan ana kazi ya ku prove.

Daraja linalotawala Ufaransa au ruling class ndilo lililoamua Emmanuel Macron awe raisi na imekuwa hivyo.

Kuna vuguvugu kubwa sana la misuguano kati ya madaraja yanayotawala Ufaransa na barani Ulaya kwa ujumla, hivyo suluhisho ni kumtafuta mtu ambae atatuliza vuguvugu hilo.

Hata hivyo sera za Macron ambazo zitakuwa ni zilezile za kufanya mabadiliko kwenye maeneo ya ajira na kubana matumizi bila kusahau kuendendeleza vita nje ya Ufaransa, ndivyo vitakavyompa shida Macron.

Kwa mfano jumapili anakwenda Mali ambako kuna majeshi ya Ufaransa ambayo yapo pale tangu mwaka 2011 kufuata kumalizika vita vya Libya, hiyo ni dalili kwamba anakwenda kusema "endeleeni na kampeni".

Ila kwa mstakabali wa uimara wa siasa za Ufaransa na barani Ulaya basi Emmanuel Macron kwa sasa anaitwa kwa kiingereza -"diffuser".
 
Daraja linalotawala Ufaransa au ruling class ndilo lililoamua Emmanuel Macron awe raisi na imekuwa hivyo.

Kuna vuguvugu kubwa sana la misuguano kati ya madaraja yanayotawala Ufaransa na barani Ulaya kwa ujumla, hivyo suluhisho ni kumtafuta mtu ambae atatuliza vuguvugu hilo.

Hata hivyo sera za macron ambazo zitakuwa ni zilezile za kufanya mabadiliko kwemye maeneo ya ajira na kubana matumizi bila kusahau kuendendeleza vita nje ya Ufaransa, ndivyo vitakavyompa shida Macron.

Kwa mfano jumapili anakwenda Mali ambako kuna majeshi ya Ufaransa ambayo yapo pale tangu mwaka 2011 kufuata kumalizika vita vya Libya, hiyo ni dalili kwamba anakwenda kusema "endeleeni na kampeni".

Ila kwa mstakabali wa uimara wa siasa za Ufaransa na barani Ulaya basi Emmanuel Macron kwa sasa anaitwa kwa kiingereza -"diffuser".
sasa kumbe una muelewa, ni kwamba wamebadilisha mcheza show ila mziki ni ule ule, naona kama miaka mi 5 ya Hollande kuendelea.
 
sasa kumbe una muelewa, ni kwamba wamebadilisha mcheza show ila mziki ni ule ule, naona kama miaka mi 5 ya Hollande kuendelea.

Nilitaka kusikia toka kwako kamanda maana nakumbuka michango yako kwenye US elections mwaka jana, ulikuwa nasi wote hapa.
 
Nilitaka kusikia toka kwako kamanda maana nakumbuka michango yako kwenye US elections mwaka jana, ulikuwa nasi wote hapa.
hahaha
mwaka jana ulikuwa mwaka hot, nilichelewa Brexit ila uchaguzi nikawahi.
ninekumbuka mzee tulikuwa tunabadilishana mawazo kipande ile, ila uko fit jamaa knowldge unayo nakuaminia
 
hahaha
mwaka jana ulikuwa mwaka hot, nilichelewa Brexit ila uchaguzi nikawahi.
ninekumbuka mzee tulikuwa tunabadilishana mawazo kipande ile, ila uko fit jamaa knowldge unayo nakuaminia

Mkuu ahsante kwa "compliment" yako.

Naona Donald Trump ananyamaza kidogokidogo mambo mazito.
 
Mkuu ahsante kwa "compliment" yako.

Naona Donald Trump ananyamaza kidogokidogo mambo mazito.
hahahaa
kawaida yake, wiki ilo pita ka mek headlines weee! wiki hii ata tulia tena.
yaan ukiwa mfanyakazi, wa Rais Trump una kazi ya kusafisha vitu anavyo ongea bosi wako na vingine anakuwaga ana vijua yeye mwenyewe . .but the guy ana survive pamoja na kufanya vtu
unconventional
 
Nnachomkubali jamaa pro business na ana nia ya kuibadilisha France kuwa nchi ya kibiashara zaidi kwa kuvutia uwekezaji na kuthibitisha hili amechukua hatua ya kupunguza kiwango cha kodi kutoka asilimia 35% mpaka 25% ili kuvutia wawekezaji mabenki na makampuni na ndio maana waingereza sasa hivi wana wasiwasi na maslahi yao sababu wakijitoa tu EU makampuni yatahamia Paris kutokana na maslahi ya kibiashara na hivyo uchumi utakua na anampango wa kuruhusu overtime hivyo wigo wa ajira utaongezeka so the guy is more pro economy
 
Back
Top Bottom