usirahsishe mambo km hvo.rais lazima iwe na tahadhar kabla hujamuhoj mbna salim kikeke mwenyewe alipokua ikulu na rais jk akimuhoj alkua hajiamn na rais alikua anarelax anajchagulia maswal ya kujbu.it waz last yea
gud boi,haya sasa tusilete masihara kwa wote wte walio serious wamchek jamaa kwa namba hyo ili awaunganishe kwa group kesho mjumuike na sio waliopo dar tu hasa sis ambao sio wa dar tutume namba pia ili tupeane ushaur
ebu tuwe serious kidogo mwene yupo dar na mwene nia ya dhat atoe namba alaf watu wamtumie namba za watu watakae jumuika nae kesho n vzur ikfanyika hvo mapema atume no then watu wamtumie no ili awaunge group kesho mjue mtaonana vp?wengne tupo mikoan.tuwaklshen hasa wa udsm cz kule ndo kwene utata...
nmegundua ktu upendeleo unafanyika kwa watu wa tcu,kama majna yamepelekwa tang tarehe 12 tcu bdo tu wanawapa kipaumbele sx cz batch four tcu ilkua kabla ya hyo tarehe na udsm wameshatoa hya kwel majanga .kunakutoswa sio kla alieptia tcu yupo vzur kuliko alieptia nacte.n changamoto tu za kmaisha...
habari bwana mkubwa,samahan naomba unieleweshe juu ya tatzo hlo la matikit kupasuka naweza kuepukana nalo vp?sababu lmenikumba had nachanganyikiwa nimelima ekari mbl na nusu yale makubwa makubwa yamepasuka sana had nahs kukata tamaa ,plz msaada wako ni muhimu bw.kisima
habari zenu wakubwa,kwa ambao tumeshakua selected na nacte kuna baadhi yetu tumekua tukisubir uthibitisho toka chuon cha kushangaza mm niliekuwaselected na nacte udsm nilkua nikisubil uthibitisho toka chuon cha kushangaza udsm wametoa majina third round ila jina langu halipo ,ama ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.