Uthibitisho wa chuo

Uthibitisho wa chuo

Mkuu..chuo ndio kinawapa TCU vigezo na sifa za wanafunzi,kwa hiyo wao TCU wanakuchagua kulingana na maelezo waliopewa na vyuo husika

Hivyo nadhani haiwezekani TCU ikuchague then chuo kikukatae

Yani ni kama mimi nikuagize kaniletee gari mpya Murano nyeusi iwe hivi na hivi halafu then wewe ukatae useme siitaki hii wakati vigezo ulinipa mwenyewe

n kwel jesh bat y wanafanya selection kabla ya uthbtsho wa chuo ilitakiwa uthbtsho before selection
 
Profile yangu capacity zonasoms zero na cjapata mpaka sasa na nilikuwa na gpa nzur tu ya diploma sasa jamani nifanye nini na hakuna option ya reset choices kwenye profile yangu!!!nifanye nini??msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom