😂😂 iyo ya kusema elimu ni Ufunguo wa maisha hiyo ni dhana ya kipindi icho cha zamani ambapo hakukua na wasomi Kwaiyo ilikua mtu ukiingia tu darasani ukitoboa vizuri bas we kazi tayari unayo na umeshatoboa kimaisha lakini sio kwa sasa mzee
Habari za wakati huu wana wa JamiiForums ?
Kwanza kabisa tumshukuru mungu kwa kutufikisha siku ya leo ya mwisho wa mwaka tukiwa wazima wa afya na wale wenye maradhi na matatizo mbalimbali basi tunaomba mungu aweze kuwafanyia wepesi na kuwaponya.
Mada yangu ya leo naomba naomba kujua kwa...
[emoji23][emoji23] kuna watu huwa wapumbavu na mnakurupuka tu sasa kujifanya mnasupport Israel wakat hao waisrael wenyew walimkataa huyo yesu wenu wakamsulubu SHAME ON YOU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.