Recent content by hubs

  1. hubs

    JamiiForums Tanzania dawa za mbu

    Angalia bio yangu hiyo profile pic inaonesha picha ya mkono wangu nikifanyiwa kipimo cha allege
  2. hubs

    JamiiForums Tanzania dawa za mbu

    Unaweza kupima allege au dalili na viashiria vinavyojitokeza baada ya kuvuta dawa hizo inaweza kuwasha ngozi mafua current ,kikohozi ,kichwa kuuma ,au kifua kubana nasema hivi kwa kuwa mimi ni muathirika wa dawa hizo
  3. hubs

    JamiiForums Tanzania dawa za mbu

    Madharayapo kwa wenye allege za dawa hiyo
  4. hubs

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Lowassa Anataka Urais Kwa Nguvu, Gharama Yoyote?

    Hivi mkimuacha apate anachotaka mnahisi atawafanya nini nyie sisim mmesahau mabaya yenu kabisa
  5. hubs

    JamiiForums Tanzania Alifukuzwa Galanos kwa Wizi wa Mitihani. Leo Mzee wa Chama

    Du hii kali
  6. hubs

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Lowassa Pemba Kufuru Mbaya

    Kule watu huwa wanafuta shoo
  7. hubs

    JamiiForums Tanzania Picha Tu: Mapokezi ya Lowassa Pemba

    Mungu bariki ukawa
  8. hubs

    JamiiForums Tanzania Majina manne ya Lowassa ni yapi?

    Huyo pombe mnaemhabikia mnayajua majina,yake mbona walimu waliomfundisha walikuwa hawayajui hayo majina msiamini vitu vya kufoji
  9. hubs

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mumewe ana maumbile makubwa, mkewe anaumia wakati wa tendo la ndoa

    hapa naonaishu sio uume mkubwa hapa inapnekana mwanaume hajui jinsi ya kuutumia vizuri uume wake yeye anajua ni mkubwa hivyo anatakiwa asifanye kama wafanyavyo wenye maumbile yakaeaida na amjali mwenzie kuhusisna na maumivu kama atafanya bila kujsli kasoro aliyonayo hataweza kuishi na mwanamke...
  10. hubs

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete na Waziri Magufuli Katika Mazishi ya diwani wa kata ya yombo, bagamoyo

    Nahisi akimwacha atagoma kugombea kwa sababu mpaka sasa wanaonekana kuchoka wenzao wanazunguka mikoano wao wanazunguka kwenye misiba na kuagana
  11. hubs

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Hiyo timu mbona ya kizamani ulietoa post wewe ndo unawaogopa hao hakuna anaetaka kuwasikiliza
  12. hubs

    JamiiForums Tanzania Lowassa chukua hatua ya kusafisha dhamira za watu-(wanaukawa) kuokoa jahazi

    Lowasa kasema mwenye ushahidi aende mahakamani nakushangaa unaishia kuandika humu uongo wako nenda mahakamani usitudanhanye humu
  13. hubs

    JamiiForums Tanzania Bei za gesi kupanda tar 1-7-2015

    Mbona hasemi imepanda kwa kiasi gani na ilikuwa ngapi mi naona sawa tu hukukwetu
  14. hubs

    JamiiForums Tanzania Kampeni: Kiba rudisha tuzo mbili ulizopewa (sio ulizoshinda)

    Kweli jsmani hizo tuzo si zake wampe barnaba na diamond nilijiuliza sana inakuwaje ametunga nini kimasomaso tu ndo mtunzi bor nampenda kiba lkn tuwe wa kweli nimeona shoo zake kawaida sana hajamfikia diamond tena ule wimbo wa mwana dar ndio hata video haindani na alichoimba au ile ndo performance
  15. hubs

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM na Tano Bora Urais: Wanne Wanajulikana, Mgombea Wa Tano Bado Kitendawili

    Hapo ukawa kura njenje ikulu moja kwa moja
Back
Top Bottom