Majina manne ya Lowassa ni yapi?

Majina manne ya Lowassa ni yapi?

Status
Not open for further replies.
Najua hujui na hujui kuwa hujui! Pamoja na Swali lako kutokuwa na mashiko yoyote, kwa sababu wewe ni so incompetent kwenye hicho kitengo ulichopo, majina yake manne ni kama Ifuatavyo:
Edward Ngoyai Lowassa Ndossi, kwa Uthibitisho zaidi muulize Mwenyekiti wako wa Chama!
Nawasiliana na Makamu M/kiti na Katibu Mkuu wako ili wavunje hicho Kitengo chenu, mnakiaibisha Chama kikongwe, kama walio recruit ni JMakamba na Nape,inabidi wapelekwe Mirembe straight away!
Bora mkamwomba FaizaFoxy na Juliana Shonza wakaja kuwa train angalau!

Duuuuh!! Ni uchungu mkubwa kwa magamba, kwni wameajiri watoto incompetent ili kuwalipa hel kiduchu buku saba. Results ya kazi yao inasikitisha na kuaibisha. Najaribu kujiuiza,labda ha wtoto walipewa shift mbaya, lakini nikianglia time stamp ambazo hao watoto wote walianzisha thread na kuanza kujijibu (kujitekenya na kucheka wao wenyewe) naona haiwezi kuwa sababu. Poleni wanamagamba, lakini ndo laiif hiyo. Ni msimu mrefu huu umeingia kwenu. Na bahati mbaya sana muda hauko upande wenu.
 
N
WASIWASI JUU YA LOWASA:
Hivi wana jf walio ukawa naomba kuuliza tu swali la kizushi,maana nina wasiwasi na huyo mnayemshabikia,wengi kama fata upepo tu,inawezekana hata majina yake manne hamyajui,mnajua tu la lowasa.Mfano yule wa ccm anaitwa John Pombe Joseph Magufuli:Haya na huyo wa kwenu kama kweli yupo ukawa anaejiamini hapa ataje

Wakiyataja mm naacha kujishughulisha na masuala ya siasa
 
WASIWASI JUU YA LOWASA:
Hivi wana jf walio ukawa naomba kuuliza tu swali la kizushi,maana nina wasiwasi na huyo mnayemshabikia,wengi kama fata upepo tu,inawezekana hata majina yake manne hamyajui,mnajua tu la lowasa.Mfano yule wa ccm anaitwa John Pombe Joseph Magufuli:Haya na huyo wa kwenu kama kweli yupo ukawa anaejiamini hapa ataje

Majina yake manne ni RAIS EDWARD NGOYAI LOWASA.
 
anataka kujua je unamkubali kwa kumfahamu vizur au Unamkubali kwa kuwa fulani anamkubali?
Ndio haswa lengo, sio mzaha unaweza sikia ile edward ngoyai mabadiliko lowassa. Hawa kina lissu walimchafua sana mzee wa watu alafu wanababaika eti ngazi za juu. Vipi wachukuliwe hatua na ikionekana wamemchafua makusudi tupa jela.
 
Huyo pombe mnaemhabikia mnayajua majina,yake mbona walimu waliomfundisha walikuwa hawayajui hayo majina msiamini vitu vya kufoji
 
wasiwasi juu ya lowasa:
Hivi wana jf walio ukawa naomba kuuliza tu swali la kizushi,maana nina wasiwasi na huyo mnayemshabikia,wengi kama fata upepo tu,inawezekana hata majina yake manne hamyajui,mnajua tu la lowasa.mfano yule wa ccm anaitwa john pombe joseph magufuli:haya na huyo wa kwenu kama kweli yupo ukawa anaejiamini hapa ataje

rais edward ngoyayi lowassa
 
Hiyo ni kazi ya uhamiaji sisi tuna mjua majina yote kama ifuatavyo:

Rais Edward Ngoyai Lowasa.

Bila shaka nimekujibu.
 
Akili fupi kulilo mguu wa sisimizi. Mimi mwenyewe sina majina manne, navyofahamu Watanzania tuna majina Matatu Matatu, haya kikanisibu kipi nianze kutafuta jina la nne la mtu mwingine?

Haya wewe hamnazo ulieanzisha huu utumbo, nitajie majina ya babaako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom