strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,312
Well done pambe and lowassa
Siku hizi watu wamepungua kwenye mikutano ya ukawa.
Hili balaa halijawahi kutokea tangu zanzbar inapata Uhuru. Lowasaa aweka historia bila chembe ya msanii
Ni kweli kabisa.. Uko sahihi
Ebu kuwa na adabu we mara zote comments zako ni hizo hizo, kuwa na hekima japo kidogo, hujafa hujaumbika!
Mjinga pekee ndo anaweza comment hivi....Hata Shetani Pia Yupo Upande Wenu Na Ndiyo Maana Kwa Laana Za Mwenyezi Mungu Mgombea Wenu Haishi Kutoa Haja Kubwa Majukwaani.
Hata Shetani Pia Yupo Upande Wenu Na Ndiyo Maana Kwa Laana Za Mwenyezi Mungu Mgombea Wenu Haishi Kutoa Haja Kubwa Majukwaani.
Absolute stupid politics.