Recent content by HUBATUS

  1. H

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa wine ya ndizi na nanasi

    Many thanks
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kuku kukohoa na kupiga chafya

    ni Mafua kuna dawa inaitwa FLUBAN nimeitumia inatibu fasta
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Congraturation kwa hatua uliyo fikia mimi pia ni mfugaji" kuhusu hayo matandiko ya kwenye banda nakushauri usipendelee kutumia maranda ya mbao ni vizuri ukatumia yale ya mchele maana nasikia kuna jinsi yanavyo athiri kwenye mfumo wa upumuaji wa kuku. Na kuhusu muda wa kuyatoa inategemea mi huwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Huku ni kuinua uchumi wa familia au ni ubahiri?

    Katika jamii zetu siku zote mwanaume ndo kichwa cha familia na kila familia ina principal na protocal zake lakini kwa hili hapana unakuta mwanaume ndiye m2nza mapato ya familia pekeyake na hata kama mke ana kazi ikifka mwisho wa mwezi mshahara wake wote unatengwa mezani mwanaume ndo anatunza...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Ndugu pole sana ila nakushauli kabla hujachukua maamuzi ya kuoa mwingne take time kwanza msome mwenzio yuko vip,anapendelea nini,tabia gan na hata ikibid ijue vyema ratiba yake. Maana unaweza kuta unaoa mwingine kumbe bora hata huyu wa kanisani. Yeye akawa anakesha bar,na night clubs maana...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nitabadilisha wanawake hadi nipate asiyeomba pesa kila siku

    Tatizo mi naona huwa liko kwetu mamen maana tukitongoza tunajinadi ni mataita mi nakushaur usiwe una fake maisha be realy. Kwasababu ukijifanya zipo hapo mizinga lazima2.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuku wanataga sehemu moja? Msaada jamani

    Kuku hupenda kutaga sehemu iliyo jificha kidogo, kwa hiyo si ajabu hapo kwenye hicho kiota wanapongangania pamejificha kuliko viota vingine. Pia jaribu kuongeza idad ya viota" kwa kuku 150 ingelbid walau uwe na viota 75. Vile vile kuhusu kuchanganya mayai nunua mark pen na uyawekee alama yale...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Je, Kuku wa Kienyeji anaweza kutamia Mayai 30?

    No haiwezekani na hii ni kutokana na umbo la kuku mwenyewe lilivyo. Kwa mfano mayai therathin ukimpatia kuku ayaatamie utaona ameweza kufunika baadhi takriban 10-15 na mengine yote kubakia nje.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kibaka na bubu

    Haaa haaa! Alimalizia chorus.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji wanahitajika

    Unataka idadi gan mkuu" na uko wapi? Ili kama ni wengi hata wa mikoan tuchangamkie dili.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki Fekon 850, 000/=

    Uko wapi,unamuda gani umeitumia,namba zake,na ni ccngap mkuu.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tecno m3 inauzwa sh 100000/=

    Tatizo ni umbali mkuu ila ilikuwa ya kuchukua. Fulsa kwa waliopo karib na we2
  13. H

    JamiiForums Tanzania Biashara nzuri hii hapa!!!!!!

    Weka bei mkubwa tu talk bussnes.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hodii

    HODIIIIIiiiiii
Back
Top Bottom