Wanajamvi katika hali ya kushangaza huyu Mh kabla hatujampa ubunge sisi wananch wa jimbo la Busega.,' alituahidi mambo mengi sana kama kuwezesha na kufanikisha ujenzi wa Chuo cha ufundi ndani ya jimbo la Busega pindi tu atakapoingia madarakani lakini mpaka sasa hata dalili hakuna.....pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.