Dr kamani jiandae kuachia jimbo la Busega.

Dr kamani jiandae kuachia jimbo la Busega.

Huba jr

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Wanajamvi katika hali ya kushangaza huyu Mh kabla hatujampa ubunge sisi wananch wa jimbo la Busega.,' alituahidi mambo mengi sana kama kuwezesha na kufanikisha ujenzi wa Chuo cha ufundi ndani ya jimbo la Busega pindi tu atakapoingia madarakani lakini mpaka sasa hata dalili hakuna.....pili aliwahid wanakijiji wa Nyamikoma,,Kabita.,Nyakaboja kuwa atahakikisha atawapatia umeme lakini hali imekuwa ndivyo sivyo..'..haustahili tena kuwa Umbunge umeshndwa kutekeleza yale tuliyokuagiza tambua wananch tumechoka na propaganda zako..'hata jimboni hauonekani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom