Rcm wa chuo cha polisi Moshi afariki...

Rcm wa chuo cha polisi Moshi afariki...

Huba jr

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Kwa masikitiko makubwa jesh la polisi limempoteza aliyekuwa Rcm katika chuo cha polisi moshi ndugu wille aliyefariki jana usiku R.I.P KAMANDA..
 
polisi akifa hata sisikitiki wanakula rushwa zetu sana
 
unatoa taarifa ya masuala ya kijeshi kumbe hata vyeo vyao hujui,achia wenye fani wakwambie.
 
Alikuwa Regimental Sergeant Major (RSM). R.I.P mkuu. Jeshi limepoteza mtu makini. Poleni Wafiwa.
 
polisi akifa hata sisikitiki wanakula rushwa zetu sana
Kama ni Mtanzania sidhani Kama huna hata Ndugu,jamaa,rafiki au hata rafiki Mwenye Ndugu au Jamaa ambaye ni POLISI. Tuwe na hekima kidogo kwenye taarifa za VIFO...Kwa kuwa huyu Marehemu ameacha familia,ndugu,jamaa na marafiki ambao wanaingia humu JF na kusoma #%*# Kama ulioandika. Tafakari.
 
Kwa masikitiko makubwa jesh la polisi limempoteza aliyekuwa Rcm katika chuo cha polisi moshi ndugu wille aliyefariki jana usiku R.I.P KAMANDA..

r.i.p kamanda,alikuwa mkufunzi wa ukweli...
 
Rsm wa chuo cha polisi Moshi yupo hai na haitwi willium anaitwa kilowoko
 
R.I.P kamanda alikuwa maarufu kwa jina la NDEGE JOHN. alikuwa ni kamanda mzur sana. Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema pepon
 
polisi akifa hata sisikitiki wanakula rushwa zetu sana

ukimchukia polis ni sawa na kumchukia baba yako..... Hebu fikir ww ng'ombe wa kimasai polis wote wakigoma hvi nchi itakuwa na hali gan?
 
Back
Top Bottom