Polisi mkoa wa Kilimanjaro wamenifanya niamini kua pilisi wakiamua kufanya kazi wa naweza.
Nafatilia kwenye vyombo vya habari kesi ya watuhumiwa wa mauaji ya Msuya wa Arusha.
Jinsi kila wakati inaporipotiwa kuwa watuhumiwa kadhaa wamekamatwa tena wengine tunaambiwa ni wafanya biashara ma milionea.
Inatia moyo kwakweli tunaona kuwa ruswa ipo sana na inapoteza haki ya wananchi ila polisi mkoa wa Kilimanjaro mmefanya kazi ambayo imefanya wananchi wenu tujivunie.
Tumeona sehemu nyingi watu wanauliwa tena watu wakiwa wanaonekana ila inapita miaka wauaji hawapatikani ila ndani ya Mwezi mmoja tumeona kazi nzito mliyofanya.
Hongera uongozi wa polisi ngazi zote Kilimanjaro.