Recent content by htuc

  1. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

    Hivi majibu ya maswali yameshatolewa? Mambo mengi ...
  2. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

    Ni sawa kujifurahisha kwenye mitandao. Wapiga kura wengi wapo vijijini na hawaoni kinachoendeleaf mtandaoni.
  3. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

    Umesema *karibia yote*
  4. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

    Kwa hiyo kama maswali yote yalishajibiwa hii thread ni ya nini na matangazo yenye muda mahsusi yalikuwa ya nini?
  5. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

    Hivi saa 2 hadi 4 haijafika bado? Au ni masaa ya kidhungu?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

    Mbona hiyo picha kama imeungwa? Looks like edited video abnd not authentic
  7. H

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu kuvunjwa msikiti, uhamisho wa wahadhiri Waislam UDOM

    Hivi kilichovunjwa ni msikiti au uzio wa mabati kuzunguka eneo ambalo msikiti tarajiwa ungejengwa?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: Diamond saidia baba yako

    Hiyo busara imekuja baada ya kijana kufanikiwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. H

    JamiiForums Tanzania Najaribu kucheka kwa dharau na kujiuliza hivi chadema kuelekea uchaguzi wa 2020 watatuambia wamefanya kitu gani cha kuwaletea wananchi maendeleo

    Kuna fedha za mfuko wa maendeleo ya jimbo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. H

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mhe. Kagame sasa ni mwenyekiti wa EAC Sent using Jamii Forums mobile app
  11. H

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mgodi wa korosho umetema. Wakenya kununua tani 100 kwa zaidi ya Bilioni 481 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu punguza ukali wa maneno, hujui utayekutana naye

    Kiongozi was CHADEMA yuko jela kwa sababu amekiuka masharti ya dhamana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ya Lamwai yaweza kumkuta Tundu Lissu!

    Huu unabii kama umeanza kutimia hivi? Dr. Slaa na Kafulila down Sent using Jamii Forums mobile app
  14. H

    JamiiForums Tanzania Adha za Mwendokasi: Abiria wamejaa kituoni, magari yamepaki

    In biashara tu mkuu, wakati huo abiria ni wachache, huwezi kuweka nagari yote barabarani. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom