Najaribu kucheka kwa dharau na kujiuliza hivi chadema kuelekea uchaguzi wa 2020 watatuambia wamefanya kitu gani cha kuwaletea wananchi maendeleo

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Wenye facts, data, evidence zitakazonishawishi kukubali nikichague chadema kishike dola 2020 .

Na evidence hizo ziwe ni zile za kuwaletea wananchi maendeleo.

Hata kwa fedha za mfuko wa jimbo wanazopewa , mrushe picha basi tuone walichofanya.

Mfano yule mbunge wa singida mashariki, pamoja na yule wa kule hai.

Najua mtasema chadema haikusanyi kodi na ndio kisingizio chenu.

Hata kama hawakusanyi kodi mtuambie ni kitu gani cha ubunifu na chenye maslahi kwa wananchi walicho kibuni.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
hazo evidence kaulizie CCM, tangu lini upinzani ya Afrika ikaleta maendeleo wakati haiongozi serikali.?
 
Kodi mkusanye nyie Na kupiga mpige nyie, maendeleo muende kuuliza chadrma. Kwanza msitutoe kwenye reli 2.4 trillion iko wapi?
 
Hutuba ya mwanaccm lazima ianze na chadema na imalizie na chadema. Taaabu mnayo wana Lumumba. Ukweli mnaujua hata mkiiba kura
 
Back
Top Bottom