Wapendwa wana JF,
kwanza kabisa napenda mjue mimi sio kiongozi wa TAG na ufafanuzi huu uchukuliwe hivyo. Pili sina lengo la kuiongelea huduma ya Mikocheni B au mama Rwakatare kwa namna yeyote (chanya au hasi). Na tatu lengo ni kuweka ukweli vizuri ili kuwasaidia waandishi wa habari wavivu wa...
No! Either I or He is wrong! I reject evolution to dot. I don't have anything to agree with it, that is it!
This is "your" definition of evolution and we cannot debate opinions. So I leave it undebated!
Whether short or tall its still humans!
And that is what evolution is and its worse than...
Kanisa ni tofauti na unavyowaza!
Hata wewe ukifungua biashara ukaiita kanisa unaweza lakini ukweli utabaki palepale sio kanisa.
Kanisa ni Mwili wa Kristo ambapo Yesu Kristo ndio kichwa na Mtawala.
Sasa kama kichwa na mtawala amekataza Uliberali utasemaji mtu anayefuata uliberali ni sehemu ya...
Which Jesus are you talking about? Are these words Judgment? Jesus Did Judge but did it righteously not hypocritically. Don't make your own non existing Jesus!
But when he saw many of the Pharisees and Sadducees come to his baptism, he said unto them, O generation of vipers, who hath warned...
Confusion sometimes comes from little minds who cannot think. Its easy to "confuse" a child with calculus right? Does that mean differential equations are confusing? No! It just means the child cannot understand them. So the same is your case!
Where do you get this? Where did you copy and paste...
Kuna post ilikuwepo jana nimeisaka sijaiona. Ilikuwa ni comment sikumbuki hata ya nani lakini baadhi ya maneno yalikuwa kuwa kesho itakuwa siku ya shetani. CCM wameamua kumwaga damu sana... sikumbuki mengine. Kama mtu anaweza ipata itasaidia uchunguzi Pls msaada: Buchanan Moderator
Kwa hiyo una maana tukubaliane na KILA wanachokitaka Wazenj kwa kuwa "hawawezi kukubali hata siku moja"? Muungano una maana kila mtu ana sehemu ya ku compromise na ku sacrifice. Kama wao hawataki any of those...they may well go!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.