Recent content by hsnaturalfertility

  1. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Manyanyaso kwenye ndoa

    Abebe watoto arudi kwao, akiwa huko aende mahakamani kufile madai ya talaka ili apate mgao WA nyumba (maana ndio shida yake)..ajue sio kitu cha siku Moja, inaweza kuchukua miaka hata mitano. Hawamtaki wameshamchoka, anaweza Akawa yeye ndio sababu hatuwezi jua. Cha muhimu mapenzi yakiisha...
  2. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Polisi : Marufuku Bajaji kubeba abiria siti ya Mbele.

    Angalau aisee, maana ilishakuwa hatari, bajaji inabeba mpaka abiria sita🫪. By the way VETA wanatoa mafunzo ya udereva bajaji, lakini sijui ni asilimia ngapi ya madereva wamepata mafunzo, maana vurugu zao barabarani sio za kitoto.
  3. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Kilema cha Kuona Kilichopelea

    😆😆😆 Kuna vitu viwili tofauti hapa 1) Negative mindset. Hawa kwenye Kila kitu wanaonaga negative side. Yaani ubongo wao umekaa kujihami na hatari muda wote mostly kutoka na na experience mbaya huko nyuma. 2) Fault finders. Hawa ni wale wako positive lakini wanaona mapungufu ambayo wengine...
  4. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa umefika Wanasheria wa Sandaland kumpigania bosi, kampuni na kuonesha ubora wa taaluma zao

    Ee sio kuvaa tu suti na kubeba briefcase 😆😆😆
  5. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda Atupilia Mbali Matangazo ya Jezi Mpya za Timu za Taifa. Mkataba wa mzabuni wa jezi hizo kuchunguzwa

    Mwanzo shida ilikuwa ni viwango / ubora wa jezi na picha za naibu kutumika kutangaza jezi, sasa umekuwa mkataba na mzabuni. Tuache lipi tubebe lipi?
  6. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Siku Ukijua Kinachokutokea Usiku, Akili Yako Itaruka!

    Kwa hiyo ili tusifanyiwe hayo yote tufanyeje? Au tuwaache tu waendelee kutuhondomola? 😆😆😆
  7. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Lema amefanya jambo jema, japo....?

    Ya pole ya msiba mi wala sioni kama ni big deal, ila swala la kumuingiza makamu kwenye majibu yake ya passport nimeona alikurupuka. Kuna namna anataka watu wamuone makamu kwa jinsi ya tofauti, na sijui kama alipata consent yake kabla ya kutoka hiyo taarifa. Inaonekana Kuna mpasuko huko chadema...
  8. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Tetesi: WanaCCM amkeni tupambane na state capture ya Wicknell Chivayo na Genge lake kwani ndio wanayeongoza Tanzania kwa sasa, Raisi ni Kivuli tu.

    Huyu chivayo ana agenda ya siri ambayo inabidi ifuatiliwe. Kuna namna anataka kuiaminisha Dunia kwamba yeye ni mtu Fulani, serikali za Africa ziwe makini nae sana.
  9. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania ND7GU YANGU WA DAMI AMESHAPOTEZA KUMBUKUMBU HANIKUMBUKI TENA. HOSPITALI WANASEMA NI TATIZO LA UBONGO; WHITE MATTER. Nifanye nini mwenzenu,

    Tena wafanye haraka kabla madhara hayajawa makubwa. Hawa watu ndio wanaua mpaka watu wanaowahudumia bila kukusudia.
  10. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania tafadhali tuacheni kumtumia Mzee Warioba kutusemea na badala yake tuwe front wenyewe. Hebu tumuonee huruma basi...!

    Yaani wanamkurupusha asubuhi subuhi hata chai hajanywa, blood sugar iko chini, daa, sijapenda
  11. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

    Be patient, tarehe 4 atakuja kukabidhi ofisi kama barua ilivyosema na kama utaratibu ulivyo.
  12. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

    Ila wabongo tunapenda story😆😆 We tupe kichwa cha habari tu, uone tunavyojaza gazeti la mzalendopage zote😆
  13. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Sasa Vimekuwa Viwanda vya Kutoa Vyeti, Siyo Maarifa. Kuna haja gani ya kupeleka watoto vyuoni ?

    Muheshimiwa Majaliwa aliwaambia wenye degree waende VETA wakamjia juu sana.
  14. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa Kukaribia Kifo

    Mkuu Pascal Mayalla alishapitia NDE, ila ule uzi nimeusahau. Naomba mtu autag hapa
Back
Top Bottom