Recent content by hsmyella

  1. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    naomba uwaze kusoma na sio kuwazia ngono, usipoangalia utaukwaa ndugu yangu.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa kimepimwa kipo mbweni mpiji

    mmh hiyo bei mbona imechangamka sana na haiendani na square meter hizo?.
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

    yaan wanaume wapenda umwinyi utawajua tu, kwanza nani kakwambia unyumba ndo ndoa, unamtishia mwenzio unyumba wakati kuna wengi wanatamani kumpa ila tu anajiheshimu na kukuheshimu wewe.Acheni u-selfish nyie wakaka.sasa ulivyomwambia huo unyumba wako ndo umesaidia nini? tambua kuna muda mwanamke...
  4. H

    JamiiForums Tanzania STAR WA BONGO MOVIE SAJUKI ALIHITAJI Sh. 21M tu Kurudi INDIA kwa MATIBABU zaidi...

    jamani ni ahadi imetimia,sote tutarejea kwake.tumuombee alale pema peponi.amin
  5. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

    Jaman,nimeumia sana kusikia hz taarifa, lkn yote ni mipango ya m/mungu.R.I.P kaka yetu.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa limesajiliwa kwa matumizi ya makazi

    asante kwa taarifa, lkn mbona kabei kapo juu sana mkuu?
  7. H

    JamiiForums Tanzania nauza nyumba

    Hi! wanajamii, nauza nyumba ipo mbezi luis njia panda ya makabe ni km 1.3 kutoka morogoro road, ina vyumba 4 kimoja master, public toilet, jiko, stoo, bado finishing kidogo. kiwanja kinaukubwa wa sqm 650.bei yake ni mil 90.kwa mawasiliano nipigie 0767146448.mimi ndiye mmiliki wa nyumba.Bei...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

    mm anatia huruma jaman
Back
Top Bottom