Habari wadau, nipo Singida nina uhitaji wa idadi hiyo ya vifaranga vya chotara hasa hasa sasso, wenye umri wa siku moja . Kwa wazalishaji na wauzaji nahitaji
Na wasilisha.
N.B 1. kipaumbele watapewa wa mkoa wa Singida na Dodoma
2.ukiwa nao kuanzia 300 pia itafaa
Mkuu, kwanza pole sana kwa yaliyo kusibu. Kwanza hongera sana kwa kuamua japo kamali ina uraibu fulani, unaweza sema hii ya mwisho and still ukipata hela kidogo unarudi kulekule kwa kauli ya (hii ya mwisho) 😂
Ushauri wangu
📌Tafuta mbadala wa kazi ili iwe ina kuweka busy alot of time.
📍...
Tatizo mafundi wengi wanaongeza sifuri mbele, nimegundua ukiwa na lengo la kujenga ghorofa
Tafuta ramani
Ita mafundi maiko hata watano na kila mmoja umsikilize kivyake, ukimpata mpe vifaa aanze 😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.