Recent content by hrs

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Daaaaahhhh,viongoz wetu busara itumike kwa msamaria mwema kumbe viongoz wetu wanataka wote tuwe mabubu Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    pole sana,pia hongera kwa kuwa na moyo mkuu ushaur wangu hapo man kwa kuwa mawacliano yote unayapata subir cku watakapopanga mechi ya marudiano kawakamate hapo hapo ,hapo ndo itakuwa mwisho wa huo mchezo Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JF tukutane hapa

    nyie wanawake kwa nn mnajidhalilisha ivo,mambo chumban unayatoa huku kwa nn,nyie mmekamilika ba kuwa vigezo vinavyokidhi?? mbona wengine huko chin mnanuka lkn wanaume huwa hatusemi au na cc tuanze kulipua kama hamjazikimbua media ??? Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Baba nyuma geuka mbele tembea achana na huyo mwanamke ukimng'ang'ania baada utajuta
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

    kifup tatizo lulu michael
  6. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    Inabidi uangalie na umri wako kama unaiga tulia kwanza ukiwa mkubwa utafanya iyo kaz Anza kutafuta ujasir kabla kumwendea mwanamke
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Aliyemjeruhi Meja Jenerali mstaafu, Vicent Kariongo kwa risasi auawa

    Na waliomjeruhi TUNDU LISU WATAUWAWA LINI???
  8. H

    JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    tupia picha kamili ya 3D tukuone vizur
  9. H

    JamiiForums Tanzania Walitambua vipi kuungua kwa nyumba kulisababishwa na betri kupata joto?

    utauliza wap na ukiuliza yawezekana ucpate majibu kabisa ukaishia kuteseka na kuteswa na uliyemuuliza
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    NITAWASHUGHULIKIA by----------
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    kulikuwa na ulazima wa huyo dereva kutokuwepo nchini na kupata sehemu iliyotulia kama kenya kwa ajili ya usalama wake na kupata psychological treament kwa kile alichoshuhudia maana ni tukio la kutisha na la kwanza kutokea TZ NAWAPONGEZA WALIOTOA MAWAZO YA HUYO DEREVA KUKIMBIZWA KENYA KWA KWEL...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    serikal inawajua watu wanafanya haya matukio wananchi tusihangaike Sent using Jamii Forums mobile app
  13. H

    JamiiForums Tanzania Macho ya Wanaume

    hatariii,,,ila msiwalaumu sana wanaume coz sio wao bali ni hormone tu ndo zinazowafanya wageuke Sent using Jamii Forums mobile app
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ukipenda Penda Tu ,Ila Usitaraji kupendwa Pia.

    jinyonge Sent using Jamii Forums mobile app
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka apangiwe vipindi afundishe sekondari

    Kama ni mwl kitaaluma akafundishe,ila kama sio mwl kitaaluma aendelee na siasa atatuharibia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom