Wanajamvi,
Kama mjuavyo Tanzania tunaishi kwa matukio, kuanzia kikombe cha babu, Deci, D9 Club, Mayai ya kware, Kilimo cha green house, Ufugaji wa Sungura na sasa Alliance Global in Motion.
Nimeleta hii mada kwa sababu kila mtu unayekutana naye sasa hivi mtaani atakueleza ni namna gani unaweza...