Recent content by Hplary

  1. Hplary

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Weka picha yake hizi za kudownload zinashida
  2. Hplary

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

    Aina ya simu ni Samsung c-5, nikiwasha data hata nisipofungua App yeyote matangazo yanatokea
  3. Hplary

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    kumbe
  4. Hplary

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, mimi ni mtumiaji mzuri sana wa simu zinazotumia mfumo tajwa hapo( android),. Lakini ndani ya siku kadhaa zilizopita kumetokea aina mpya ya matangazo ambayo yanajitokeza pindi unapowasha DATA na kutawala screen nzima ya simu nimejaribu kufanya namna ya...
  5. Hplary

    JamiiForums Tanzania 24 series na prison break ipi kali?

    Tofauti kubwa ni kwamba 24 inauhalisia kidogo mno huwezi linganisha na Pb
  6. Hplary

    JamiiForums Tanzania Nauza simu(used)samsung galaxy s6 edge kwa bei rahisi.

    Hapo kwenye storagee capacity mkuu vipi umekosea kidogo
  7. Hplary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Big No
  8. Hplary

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Vipi kuhusu dawa ya kuwaogeshea hawa watoto na mama pia ili kukomesha viroboto na kuhusu chanjo pia ni lazima aje doctor au hata mwenyewe naweza kuchoma
  9. Hplary

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Puppies chanjo ni baada ya wiki 8 nadhani
  10. Hplary

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Vipo tena vizuri mno kama kweli upo interested njoo inbox
  11. Hplary

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Mkuu nisaidie lishe bora kwa mbwa mzazi amekonda hadi namuogopa
  12. Hplary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Tupe story moja moja mkuu umefupisha mno
  13. Hplary

    JamiiForums Tanzania Words of wisdom

    Well said
  14. Hplary

    JamiiForums Tanzania Mahesabu ya kijasusi yanakataa kwa 51% kuwa Serikali inahusika na shambulio la Lissu

    Aisee hii habari nataka kuisoma
  15. Hplary

    JamiiForums Tanzania TCL Smart TV inahitajika haraka.

    Nina 32 inch samsung nataka kubadili nuchukue kubwa kama upo interested nicheki bado iko poa sana model 4300
Back
Top Bottom