Recent content by hoyce

  1. H

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    wanajitambua ssba, Ila wamebanwa kila kona. ungekuwa wao ungefanya nini katika mazingira haya?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Letters from a Nairobi Hospital Bed

    Sioni maneno yanayofanana hapo: "Letter from a Birmingham Jail [King, Jr.]" 16 April 1963 My Dear Fellow Clergymen: While confined here in the Birmingham city jail, I came across your recent statement calling my present activities "unwise and untimely." Seldom do I pause to answer criticism of...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Lkn kumbuka ndo nji was kwanza kuwa na bidaboda hizo ubazosema
  4. H

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Research Research uliyofanya na findings ulizoleta ni tofauti; Wewe ulikuwa unatafuta wahaya wenye maduka, au hali ya maisha kagera? hujasema hao wanaonunua bidhaa ktk maduka ya wsukuma ni kina nani?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

    Labda kwa solar, huo upon hata leo. wanakufungia full package unayoweza, unalipa kwa mwezi hadi gharama zao ziishe, usipolipa inakata automatic kwa GPS
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato: Serikali yatangaza tenda
  7. H

    JamiiForums Tanzania Siku mbili za Halima Mdee rumande Oysterbay

    Hapo kuna uongo. Mbunge anatoroka kwenda wapi? Mbona polisi walimkuta kwake?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi na uharaka wa kuripoti mauaji ya Kibiti

    Chombo cha habari ambacho hakina vyanzo vyabhabari ni sawa na kimekufa. Mwananchi lonajitambua
  9. H

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi na uharaka wa kuripoti mauaji ya Kibiti

    Ujinga ni mzigo. Kajifunze maana ya chombo cha habari
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga, mh. Waitara yatakupata yaliyompata Mnyika 2015

    Wewe unahangaika na mbunge wakati unajua Serikali yako ndo haijajenga barabara, si wakati wa Waitara tu, nyakati zote kuanzia mahanga mwaiposa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

    Mtoto wa Ndesa ni Lucy Owenya, si huyu Lucy Mayenga
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Sengerema secondary school tukutane hapa

    Bagdad posho mill
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Askofu Niwemugizi: Rais atathmini msimamo suala la njaa
Back
Top Bottom