Waliosoma Sengerema secondary school tukutane hapa

Wale mliosoma Sengerema secondary school tukutane hapa tukumbushane maisha ya chaka
Mkuu sitasahau tulivyo lazimishwa kuzoa mamvi na mkuu wa shule kwa kutumia mikono kule chaka enzi hzo wat wanajisaidia ovyo chaka .....vyoo vya vinanuka mbaya ukitak kuingia ni hadi uvue nguo zote maan harufu ilikuwa Kali mnooooo...daaah maisha haya
 
Ww utakuwa intake yangu 2013
 
Mkuu sitasahau tulivyo lazimishwa kuzoa mamvi na mkuu wa shule kwa kutumia mikono kule chaka enzi hzo wat wanajisaidia ovyo chaka .....vyoo vya vinanuka mbaya ukitak kuingia ni hadi uvue nguo zote maan harufu ilikuwa Kali mnooooo...daaah maisha haya
Bagdad posho mill
 
Mzee mwenyewe Jumong, anakwambia okota mavi kilo mbili.. ukizoa kidogo ni stick
 
2009-2011 iyooo. kabla ya likizo ya form five, pale school palikua pa hovyo sana kwasababu ya chaka. ila tulipotoka likizo ya form five, tulikuta jitu linaitwa kahema, aka dude. lilikua linapiaga vipoko hadi 30 ukijichanganya kwenye kosa.
pamoja na kua likosofi, ila lilitujengea vyooo na hapo chaka ikaaza kupungua kasi.

wapi chaka advance, wapi chaka olevel. wapi omela a.k.a anaekuywa majagi mawili ya uji pake yake, wapi prosper kato, wapi petro sabato full mgonjwa wakati wa majanga, wapi masanyaja aka BIG.
 
Duh, nimegonga advance hapo 2002-2004.

Chaka ilikuwa balaa ila ndiyo tulikuwa tunapita kwa kutoroka kwenda mjini, mwabaluhi huko tulikuwa tunaenda kula misosi kwenye vihotel bubu pindi tunapomisi wali

Ila mavi ya chaka ni noma, halafu ukiingia chooni na nguo harufu haitakuisha siku nzima!

RIP headmaster wetu, Mwl. Mpemba
 
Back
Top Bottom