Recent content by Howosinotruck

  1. H

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Mapya yaibuka kufuatia JWTZ kumua raia aliyefika kambi ya jeshi

    Ni ujinga kumkubwa sana kwa sisi tuliosomea mambo ya security hiyo ni option ya mwisho kabsa(kuua) baada ya kujidhihirisha kua adui ana siraha nzito na amekaidi amri.sasa mtu yuko mikono mitupu unamlamba shaba why? Kwa askari mwenye mafunzo huyo alikua wa kulia ambushi dk kumi nyingi ushamtia pingu.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watu kuomba nauli

    Hawa watu wengi wao wanakua hawana shida ya nauli wanatumia nafasi hiyo kujipatia kipato.mm nlimpea jamaa mmoja nauli maeneo ya standi ya mwl nyerere pale mikocheni nikaja kutana nae tena maeneo hayo uzuri mm huwa simsahau mtu hata ipite miezi miwili nlimkataaa.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hasara zipi unazipitia kwa kuwa na tabia za introvert?

    Usikalili hilo neno Linategemeana na wapi unalitumia jamaa yuko sawa
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwa watu wa movie tu: Wazungu wanajua jamani. I can't watch Blacks

    Tell him to go watch martin lawrence and will smith movies + wesley snipes
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchunga wakati tukiwa wadogo tukutane hapa

    Na kuliua na ngombe moja mzee nikienda nae machungani akichoka analala hapo hapo njiani kumnyanyua shida ilikua inanilazimu kumuacha palepale napeleka wengine narudi na tera la kusukumwa ngombe tunambeba
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchunga wakati tukiwa wadogo tukutane hapa

    Sitosahau kuna ndama mmoja alikua mkorofi balaaa.kumchunga ilikua shughuri sometime alikua ananitoa nduki hizo na akinifikia anaanza kunipiga vichwa.nilikua ndo kwanza na miaka 6.nashukurupembe hakua nazo ndo zilikua zinaota tofauti na hapo angeniua
  7. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu nzuri ya kuishi ndani ya Tanzania

    Nipe sifa za kunishawishi mlandizi
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua parcel mtandaoni tujuzane vipi hali ya kuagiza na posta kwa sasa?

    Mpaka idadi itimie ndo watume changamoto nyingine usafiri kwa meli inachukua muda mrefu kuliko ndege.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua parcel mtandaoni tujuzane vipi hali ya kuagiza na posta kwa sasa?

    Changamoto ni watu kuchelewa kukamilisha oda mapema wale wana kiwango chao kikifika ndo wanatuma hawawezi kutuma mzigo wa million 100 wakati wao lengo lao million 200.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Je, Wewe upo 'Tight' kwenye fani au kazi gani?

    Swali hilo nimesimama chini nikatwanga picha angani nikalichukua jua na mawingu.hiyo itakua aina gani ya photograph?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Unafurahia nini na maisha yako katika historia ya kuvuta bangi(all about weed)

    Hakuna kitu kisichokua na postive na negative impact. Postive impact of weed 1. Inakupa hamu ya kula mf mm plate ya chakula kama sijavuta huwa nabakiza nikivuta naweza kula plate karibu tatu.fatilia wavuta bange wengi wanakula hatari. 2.dawa ya usingizi.ukiona usingizi unakuwa mgumu kwako vuta...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

    Soko limehamia kwa maloli ya kichina saivi watu wanakimbilia faw gari lenye nguvu kama trekta na pia spear zake bei cheeeee.hizo scania na benzi ghalinsana kama spear zake
  13. H

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Wamaasai kupewa kazi za ulinzi

    Ilikua zamani mamasai ya siku hizi yameelimika yanapiga dili za magendo malindoni mpaka mali zinaomba poo.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichoshuhudia leo, nashauri msiendeshe gari mkiwa mmelewa

    Hukuchukua hata chupa mbili
Back
Top Bottom