Je, Wewe upo 'Tight' kwenye fani au kazi gani?

1)Mimi mwalimu wa Geography nipo njema kwenye Geography nitandike swali lolote la Geography nitakujibu.

2)Mwana mazoezi Gym niulize chochote kuhusu mazoezi hasa ya kunyanyua vyuma (Free Weight).
Swali hilo nimesimama chini nikatwanga picha angani nikalichukua jua na mawingu.hiyo itakua aina gani ya photograph?
 
Mkuu Miti shamba ina mambo mengi hatuyajui.

Case no.1 ukiwa umevunjika mguu, ukishawekwa pop au zile chuma nenda kwenye maduka haya ya Kiislamu ya kienyeji. Kuna dawa inaitwa mumiani nunua ni nyeusi tii. Sharti lazma uichanganye kwenye supu ya kuku ndo uinywe unakunywa mara tano au sita. Wiki mbili tu mfupa umeunga

Case no 1. kuna dawa naijua ukiikamua iko kama mlenda, hiyo dawa kama unaharisha damu ukinywa inakata hapo hapo yaani kama uchawi

Case no 3. kuna watoto wanakua na hizi tezi permanent kama vile wako infected na ugonjwa mjubwa sana, ukimgusa mtoto kwa nje chini ya taya unakuta zimevimba, kuna mti kule Moshi unauzunguka mara kumi then hugeuki nyuma kesho yake yanapotea.


Shida kubwa ya miti shamba ni kwamba elimu yake inapotea kwa kasi sana na watu wengi hawapendi miti shamba.
.
Elimu ya tiba asilia inapotea kwa sababu inahusishwa na mambo ya kishirikina.
.
Wazungu wanatumia nguvu kubwa sana kuficha hizi tiba asilia ili tuendelee kuagiza dawa kwao. Kwa mabeberu, kuumwa ni faida na kufa ni hasara.
 
Nipo tight kwenye kilimo,nipo tight kwenye graphics design,nipo tight kwenye teknolojia ya chakula,nipo tight kwenye banking,nipo tight kwenye blockchain,nipo tight kwenye leadership na coaching. Haya maisha yanatufundisha vingi ndo mana sishangaagi da vinci kuwa daktari,engineer,mchoraji,designer etc
 
Wakuu, Nimeona nilete hii Mada hapa naamini Itatusaidia Wengi sana. Kama kuna kitu unaamini unakijua, na kukielewa kiundani, iwe kielimu au kwa uzoefu! ningependa ukiweke hapa na mtu anaweza kukuuliza swali ukamsaidia chochote kile

Mimi Nafahamu Kidogo kuhusu;

1: Ujenzi, Architecture, Biashara na Connection

2: Nina uzoefu kwenye ushauri wa Ndoa, Mahusiano, Biashara na maisha ya kupambana

3.kubadilisha nafasi kuwa hela,kuweka bidhaa mpya sokoni, bible history kidogo...na crime in general

Tukubaliane kusiwe na masihara tutasaidiana sana
Nipo tight Kwenye betting, japo hakuna genius wazee wa over,under,
 
Nipo tight kwenye kilimo,nipo tight kwenye graphics design,nipo tight kwenye teknolojia ya chakula,nipo tight kwenye banking,nipo tight kwenye blockchain,nipo tight kwenye leadership na coaching. Haya maisha yanatufundisha vingi ndo mana sishangaagi da vinci kuwa daktari,engineer,mchoraji,designer etc
mkuu ww uko kama mm, najua na nafanya vitu vingi hadi najiogopa..na hapo najilimit sana maana serikali ya sasa ukienda speed ni hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom