Kwa watu wa movie tu: Wazungu wanajua jamani. I can't watch Blacks

Mim naangalia sana movie had najihis perhaps my call was to be a movie director or something

Ila sasa movie za wenzangu weus.huwa napata shida sana.hazina uhalisia yaan katika acting ..naona hawawez kabisa.ni blacks wachache sana wanajua..labda sabab jamii zetu weus ziko nyuma kimaendeleo..i dont know...ila siwez kaa naangalia movie serious za blacks..especialy zile production za tyler perry..siwez.naona kama bongo movie yan..

Wel hzo bongo movie or nigerian ndo kabisaaa.siwez hata thubutu...

Soooo..nihitimishe kusema kwamba wazungu wame wekeza jaman kwenye nyanja zote...hatuna budi kufanya hvyo nasis blacks

Oh nilisahau.na wahind or korea or china pipo.siwez watch movie hzo....

Uzi tayar....(zingatia...nna shots kadhaa za vodka hapa)
Kama blacks unaowasema ni Bongo movie na Nollywood basi sawa nimekuelewa, ila sio black Americans.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom