Recent content by House MD

  1. H

    JamiiForums Tanzania Menejiment ya Ali Kiba, yaiba nyimbo za Diamond na kuziuza iTunes

    Na wewe hapa ndio umeandika nini!!? Mbona Pumba tupu.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Menejiment ya Ali Kiba, yaiba nyimbo za Diamond na kuziuza iTunes

    Mleta mada yeye mwenyewe kaileta kishabiki,si kamtaja kiba sasa watu wakianza kumtetea kiba mnaanza kusema ooh! Mahaba,nyinyi vipi!!?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Huu ni umbea tu na uchonganishi WA mtaa wa pili,KingKiba hawezi kuongea huu upuuzi
  4. H

    JamiiForums Tanzania PICHA YA PAMOJA: Diamond, Ali Kiba na mashabiki

    Hii sasa ni CHUKI ambayo imepitiliza sasa,kawakosea nini mtoto WA watu!!? Kwani hamuwezi kumshabikia Diamond bila kumchukia KingKiba
  5. H

    JamiiForums Tanzania Davido atambua mchango wa Tanzania

    Naona unaota huku uko macho,kwenye category gani kwa mfano!!?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Davido atambua mchango wa Tanzania

    No hate but hiyo itakuwa ni miujiza
  7. H

    JamiiForums Tanzania Davido atambua mchango wa Tanzania

    We are Africans we are One tuache ubaguzi WA bendera,vote for the best not for the country
  8. H

    JamiiForums Tanzania Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

    Umeongea LA msingi Sana,ni mafanikio kwake saw a tunajua Una appreciate kidogo tunaendelea na mambo mengine,tunasifia utadhani DUNIA nzima yeye ndio WA kwanza kumiliki Lamborghini!!? Team Domo tuache ushamba
  9. H

    JamiiForums Tanzania Makao makuu CHADEMA 'chini ya ulinzi'

    Naona umeamka na Stress, haya tupe hiyo idadi ya nakala zinazochapishwa na mwananchi kwa siku
  10. H

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Diamond na Mshindi wa BBA Idris

    Double standard za bi kiroboto Faizafoxy linapokuja swala linalomuhusu JK wala usishangae
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Nimeingia YouTube kutafuta video ya mwana nimemkuta mbuta nanga anacheza wimbo WÅ mwana!! Nimechekajeee!! Huyu mama zinamtosha mwenyewe
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wa Zari (Farouque) abwaga manyanga

    Kwa kweli WÅ TZ wala walikuwa hawamjui
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wa Zari (Farouque) abwaga manyanga

    These hoes ain't loyal
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tanzanian most successful women under 40

    Senior internal auditor!!? KuanIa lini!? Huyu si public relations officer!!
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tanzanian most successful women under 40

    Mwamvita Ana asset gani ya kueleweka!?
Back
Top Bottom