Makao makuu CHADEMA 'chini ya ulinzi'

Makao makuu CHADEMA 'chini ya ulinzi'

Bebhe ganyana ebhe nang'ho gazeti linawafia mikononi hilo!! Huku Shinyanga mbona hata wao makao makuu ya mkoa yako chini ya UKAWA! Sasa na wao waseme maccm yako chini ya ulinzi?:Hivi mtaa Wa ikulu pale magogoni haujachukuliwa na UKAWA? Hebu tupeni taarifa wadau!!


Sina shida na ccm kushughulikiwa na chadema ama UKAWA, kwa sbb ni sehemu nzuri ya kuishikisha adabu ccm ambayo kuna wakati hata haiheshimu viongozzi na wanachama wake, ila ninachokisimamia hapa ni huu uongo wa kwamba mwanachi wanachapa nakala 200,000 kwa siku, narudia hakuna gazeti Tanzania wala Afrika mashariki linalochapa nakala 200,000 kwa siku akadanganye wajinga wenzake huko kwenye gongo.
 
Kizota Dodoma kuwa chini ya CDM hiyo imekaaje? Makazi ya Waziri Mkuu huko Chanika kuwa chini ya CDM ikoje?

Uhuru, Mzalendo, DailyNews, Habarileo yamerundika waandishi makanjanja.

Hata pale ikulu ya Mwanza kuanzia wa kitongoji mpk mtaa m/Kitu ni CD, itabd kila mkulu anapoingia watoe taarifa kwanza kwa m/kiti wetu
 
assadsyria3, wewe na hao ndugu zako wahariri wa karatasi la kufungia vitumbua (uhuru) hamjui maana ya 'kuwa chini ya ulinzi'
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwakuwa hujapinga kuhusu nakala zinazochapishwa na kigazeti chenu kisichosomwa hata na Nnape Nauye, pita kokote kule ukiona mtu anasoma hilo gazeti la UHURU basi una bahari siku hiyo

Siwezi kupinga ingawa si gazeti langu hilo kama unavyotaka kuwaaminisha watu humu.
 
Kwani kabla ya uchaguzi mtaa huo ulikuwa unaongozwa na nani? Hizo ni dalili za kuweweseka na kuishiwa hoja kwa magamba.cdm tunavyoshangilia ni kwa vile tumechukua mitaa iliyokuwa ya magamba! Sasa miccm nayo inakurupuka bila hata kujielewa!
 
Ma ccm yameshachanganyikiwa muda si mrefu watatembea utupu kwa jinsi mambo yanavyowaendea kombo.
 
Ikulu ya mwanza aliyeshinda pale ni cdm kwa hiyo ikulu ya mwanza ipo chini ya ulinzi?
_kweli ccm machizi!
 
.... Inabidi Uwe Na Akili Za Kimsalanisalani Kulielewa Hili Takataka
 
Kaeni kwa amani siku zote za maisha yenu! Matusi, majigambo na kejeli havijengi nchi. Tuitazame nchi yetu kwa mawanda mapana sana ili pale inapotokea issue ya kitaifa tuijadili na kupata majibu bila kujali itikadi zetu za vyama vya siasa. CCM, CDM, NCCR, TLP, CUF n.k vitakwisha lakini Watanzania hawataisha!
 
Mwanzoni huo mtaa ulikuwa unaongozwa na chama gani? Uweke sawa apo ili wanajf wasikuone kiazi!!
 
Kaeni kwa amani siku zote za maisha yenu! Matusi, majigambo na kejeli havijengi nchi. Tuitazame nchi yetu kwa mawanda mapana sana ili pale inapotokea issue ya kitaifa tuijadili na kupata majibu bila kujali itikadi zetu za vyama vya siasa. CCM, CDM, NCCR, TLP, CUF n.k vitakwisha lakini Watanzania hawataisha!

Maneno ya hekima sana aya, japo yanafaa miaka ya70 kabla majizi hayajaanza kuiba hadharani mali za umma!!
 
upuuzi mtupu,

siku zote mtaa huo upo chini ya CCM, hivyo hakuna jipya hapo.

Vigazeti hivi vimekosa kabisa habari zenye mvuto kwa jamii vimebaki na stori zisizo na tija
 
Hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu CHADEMA kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya CHADEMA makao makuu mtaani lazima wafike ofisi za mtaa za CCM.

wonderful
Unajua kopo la choni likiangushwa linatoaga sauti sasa hizi ni sauti za kopo la choo
 
Hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu CHADEMA kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya CHADEMA makao makuu mtaani lazima wafike ofisi za mtaa za CCM.

wonderful

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Haaaaaa! Haaaaaaa! Haaaaaa! Jamani muoneni mpuuzi mwingine huyu hapa! Ni Kibaraka wa Magamba!
 
Back
Top Bottom