Unless kama unaamini wapiga kura wapo JF peke yake na usisahau, mshindi wa MTV sio kama mshindi wa KTMA kwamba anaamuliwa kwa kura za mashabiki kwa 100%.Mamy achana nao hawa saivi washakata tamaa acha watape tape kama kuku anayechinjwa sisi tunavote for davido