Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Kuna anayejifanya smart anaomba peace huku anatutukana anatafuta kiki ya ulady humu ikija ushabiki ni ushabiki likipasuka limepasuka namsoma tu na kuunganisha bomu likipasuka analo pia uledi feki wote utayeyuka atatoka pangoni kama wenzake.

We mwanamke wewe, akili zako uwe unazitia akili!
Wanaume watakuwa wanakushangaa...
Wacha kunisema kimafumbo, nlieomba peace ni mimi , nijifanye kutaka uledi ili iweje!?.sikupendezwa na matusi yale,
Mimi mwenyewe nshawahi kutukanana na watu sana ila nikwambie mwisho wa siku wote mnakuwa mafa.la tu,
Ondoa ujinga huo, hamna bingwa wa matusi jf, wala bingwa wa kuchamba.
Plz, acha ujinga uliopitiliza mzurimie, huo ni unafiki wenzio wakiingia kwenye beef kisa ushabiki wewe unapata faida gani???
Ndio maana mashabiki tunadharauliwa.
Wewe mwenyewe utaona siku ya kuchambwa utakuwa peke yako usidhani utakuwa unajisikia vizuri.
Tanzania tukipata miwanawake michochezi ya ujinga kama wewe na mwenzio kwisha habare yetu hadi vitani tutaingia.
Najua kimoyomoyo yanakuingia vizuri tuuu.
Ukinijibu haya usiponijibu utajijuuu....
Hata kama tupo team tofauti matusi ya uzazi na wazazi ulikua unafurahi?? Acha umburula bwana.Ukinichukia kimpango wako, ukiendeleza vijembe vilevile kimpango wakooo...!
 
Last edited by a moderator:

hata sio wewe aliekusema hapo
 
Last edited by a moderator:
Yaani mleta mada mwombe hata mod abadili jina la thread maana unaonekana mwongo
 
+Global nao wametoa hii habari sasa sijui ndo mtawaamini?

+maana hawa global wakitoa habari ya kua Diamond ana dharau anawaita wanawake makombo mnaamini 100% bila kuhoji.

+haya msipoamini hii habari basi na zile habari za kumchafua Chibu nazo msiziamini! Maana msije mkawa vigeugeu.
 
Attachments

  • 1434700186666.jpg
    1434700186666.jpg
    22.2 KB · Views: 277
We mwanamke wewe, akili zako uwe unazitia akili!
Wanaume watakuwa wanakushangaa...
Wacha kunisema kimafumbo, nlieomba peace ni mimi , nijifanye kutaka uledi ili iweje!?.sikupendezwa na matusi yale,
Mimi mwenyewe nshawahi kutukanana na watu sana ila nikwambie mwisho wa siku wote mnakuwa mafa.la tu,
Ondoa ujinga huo, hamna bingwa wa matusi jf, wala bingwa wa kuchamba.
Plz, acha ujinga uliopitiliza mzurimie, huo ni unafiki wenzio wakiingia kwenye beef kisa ushabiki wewe unapata faida gani???
Ndio maana mashabiki tunadharauliwa.
Wewe mwenyewe utaona siku ya kuchambwa utakuwa peke yako usidhani utakuwa unajisikia vizuri.
Tanzania tukipata miwanawake michochezi ya ujinga kama wewe na mwenzio kwisha habare yetu hadi vitani tutaingia.
Najua kimoyomoyo yanakuingia vizuri tuuu.
Ukinijibu haya usiponijibu utajijuuu....
Hata kama tupo team tofauti matusi ya uzazi na wazazi ulikua unafurahi?? Acha umburula bwana.Ukinichukia kimpango wako, ukiendeleza vijembe vilevile kimpango wakooo...!

Bado unatukana akili unazisemea nini? hakuna linaloniingia nakuonea huruma tu Diamond anakukimbiza labda unamjua au unataka kumjua hiyo utajua wewe sababu ya id nae akisoma hatakujua wewe ni nani.

ukweli ndio niliandika na ninausimamia na situkanagi kama wewe nguvu ni kutukana ndio uandike hainishiki hata sumuni.

usinipangie cha kusema uliona sehemu nimeandika unanijazia maneno mengi kama vile mie ndio muamuzi wa drama za humu, wewe mbona haukutoa tamko ukawa unakula bata unasoma tu nikiandika ukweli hamtaki zangu ya yangu unaanza kunitafuta kisa Diamond.

kwa hiyo usianze kunisakizia mambo ambayo hujayaona, unanitukana akili sijui nini tangu jana unanisaka niandike pumba niwe kama wewe niache maili 1000 kama una wivu na Diamond umia wewe, kama sitaki kuandika nisichotaka usinipangie kabisa. mbona wewe hauweki akili zako hapa tukazipima zikoje ujitokeze achia hii ID, picha njoo sema unapima akili wewe ni so so so.

Mafumbo upo wewe tu humu wa tabia hiyo, acha kujipaisha kisa Diamond. ume confirm mwenyewe umeguswa imekuingia, mnaotaka kujiweka ki uledi fekelo kwa keyboard na hamna hata asilimia 1 ya hilo. kazi kusakizia watu maneno humu hadi picha ya diamond hiyoo hujaweza vumilia unavyomkubali unataka uione kila dk umeiweka kumuona mtoto wa Tandale.

usisahau kumpigia kura leo.
 
Nimekutukana tusi gani?
Maneno mengiii pumba tu.Ila ukweli umeupata, mtoto wa kike acha uchochezi.
 
[h=2]2005 LAMBORGHINI GALLARDO
$98,500
[/h]

Big up kijana kwa kujilipa kwa kitu roho inataka, hii ni kudhirishia ulivyo juu, hata wachawi waje elfu 1,000 aliyekupa kakupa atakukinga tu. Hapa ndipo watatofautiza kati ya msalaba na jumlisha, jumlisha unaweza ukaunganisha vitu vyote lakini usifike unakotaka ila uwezi kubeba msalalaba wa mtu mwigine!!!
 
Tumechoka na huu ushabiki sasa,Mwisho wa siku mtawafanya wahusika wawe stressed badala ya ku focus kwenye kazi zao.
Sifa hazitakiwi kuzidi,wala kuwa kwenye mfumo wa kinafki kiasi hiki.
We are all tried
 
Umeongea LA msingi Sana,ni mafanikio kwake saw a tunajua Una appreciate kidogo tunaendelea na mambo mengine,tunasifia utadhani DUNIA nzima yeye ndio WA kwanza kumiliki Lamborghini!!?
Team Domo tuache ushamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom