Recent content by hopedaima

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge atakayeingia Kamati ya kuichunguza TISS atakuwa amejiteka mwenyewe

    Ujinga ni mzuri sana
  2. H

    JamiiForums Tanzania Athari za kufoji cheti/kutumia cheti cha mtu mwingine

    Cheti division zero? Ama kweli njia ya mwongo ni fupi sana
  3. H

    JamiiForums Tanzania Athari za kufoji cheti/kutumia cheti cha mtu mwingine

    Mkuu wewe ndio kilaza baraza halitoi cheti cha division zero! Shame upon you
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amshauri Freeman Mbowe kutokwenda Polisi

    Mambo ya mihilili mitatu yaaply kwenye uharifu pia?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu hataki kabisa nichezee au kuangalia papuchi wakati kugegedana

    Kama amekeketwa hawezi kukuruhusu uone, vumilia kama unampenda
  6. H

    JamiiForums Tanzania TRA muache kuvizia wateja wa jumla Kariakoo

    MTU akiamua kutokuelewa! Peleka pesa siyo yako hiyo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Sheikh Khalifa aijibu JamiiForums, asema UKWELI sio UCHOCHEZI

    Kwa nini mnakuwa wepesi wa kulalamika na kusingizia ubaguzi wa kidini? Hamjui sababu nyie? Hivi ukimaliza level ya madrasa unaingia form 4, 5 au Chuo kikuu?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka mahakamani kwenye kesi ya Mbunge wa Arusha, Lema

    Amutangulie kwenda wapi wakati kaota peke yake?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

    Mfalme sio Mungu ni binadam kama wewe
  10. H

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Mawaziri wang'ara bodi ya mkopo wakulima walia

    Upuuzi mtupu!
  11. H

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Kwa mfano chuo kipi? Vitaje
  12. H

    JamiiForums Tanzania RPC: Hakuna wa kuzuia mkutano wa CCM

    Lakini kweli raisi anatekeleza sera ya chama tawala. Ukawa mnalijua hilo? Mwenye nguvu mpishe ukishindana mtaumia. Jipangeni kwa kampeni ya 2020 kwa sasa acheni nchi isonge mbele si mnaona jitihada za mheshimiwa mkuu wa nchi zinatia nia na matumaini ya kufika tunakotaka(asali na maziwa)
  13. H

    JamiiForums Tanzania Shell appeals to Tanzania tribunal over $520m in capital gains tax claim

    You are very right mkuu. Ni lazima wakubali kuwa fair bussines is what matters most sio hiyo dhulumat wanayoitetea
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kura ya kupitisha bajeti yapigwa bila kambi ya upinzani kuwepo bungeni, yapita kwa kishindo

    Wewe ni mTZ au umehamia?
Back
Top Bottom