Recent content by HOP HOPPER

  1. HOP HOPPER

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusiana na hizi kazi mbili nilizozipata?

    Uzoefu ni zaidi ya professional Pia angalia kazi ya kujichanganya na watu ndio yenyewe ya sales ila sijui kama uhasibu unakupa nafasi hiyo Pia Kuna kuumiza sana kichwa kwenye uhasibu utazeeka na kutoka kipara mapema ✔️Fanya hiyo ya sales ✔️Ina MAOKOTO mazuri ✔️Una uzoefu nayo ✔️Inaweza...
  2. HOP HOPPER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

    Mbona li ishu lenyewe linawahusu wanaume? Hao waongo? Alisema kwenye kikao chenu watajuaje ili wabadilike? Zaidi sana kwa Uzi huu ni lazima atampata tu wa kwake aliyevurugwa kama yeye Endeleeni kuvunja ukimya Kuna CK mambo yatakuwa sawa "bolti itafunga kwenye nati yake"
  3. HOP HOPPER

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reforms No Election
  4. HOP HOPPER

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reforms No Election No Reforms No Election
  5. HOP HOPPER

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atoke hadharani aombe msamaha na kuapa kutorudia tena makosa yake ili afunguliwe Kanisa lake

    Hivi UCHAWA ni kitu gani? Mbona ni kama ugonjwa wa ajabu wa akili mbaya kuliko kichaa? Mtu anaamua mwenyewe kuwa chawa au anaweza kufanya chawa? Ni kama zombi ama roboti fulani unaloweza kuliprogram au nini? Au ni transformation ya nyakati na maendeleo ya kijinga ya mwanadamu ? Nini...
  6. HOP HOPPER

    JamiiForums Tanzania Nashawishiwa sana kwenda kwa mganga, Mwenye ufaham anipe moja na mbili tafadhari kabla sijanyanyuka

    ★Si kweli kwamba wote unaodhani Wana maisha mazuri wanatumia ndumba ★Sio kweli kwamba unaodhani wamefanikiwa kwa mtazamo wako wanaishi kwa Raha ★Sio kweli kwamba mafanikio ni vile unavyodhani wewe,huo ni mtazamo wako tu na ni mtazamo hasi ★Sio kweli kwamba hao unaowaona wamefanikiwa ni kweli...
  7. HOP HOPPER

    JamiiForums Tanzania Natafuta sex partner Gongolamboto

    Hicho Cha kutunza na kulinda kwa wivu mkubwa inaonekana kimeshapotea 💯 Tungekiuona kwenye akili ya yaliyomo
  8. HOP HOPPER

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

    Sijaiona mahali ulikokosea Unao uhuru wa kupata unachokihitaji bila kuvunja Sheria za Inchi yako.Maisha Yana mambo mengi sana na Siri ya mtu aijua mwenyewe.Kuna mtu alisema life starts at 40,kumbe kwako bado ni asubuhi tu.Kazi ma dawa
  9. HOP HOPPER

    JamiiForums Tanzania Wa kienyeji, mtu ameniita hivi, inamaanisha nini?

    IN BOX!!!!
  10. HOP HOPPER

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipokee na mnifunze binti yenu wa usukumani

    Karibu Dar nikufundishe jinsi ya kupita kwenye fly over
  11. HOP HOPPER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwambie Ukweli?

    Hayo mambo madogo sana kwa kuwa yanarekebishika kirahisi Fanyà makubaliano naye ya kurudiana,Tafuta mwanasheria wa kike akuandalie hati ya makubaliano aweke vipengele vya pande zote, wako na wake pia namaanisha unavyotaka wewe asikufanyie na na anavyotaka yeye asifanyiwe Kama mnapendana kweli...
  12. HOP HOPPER

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu aliwakomboa watu wake na atarudi kuwachukua je viumbe wengine wasiyomwabudu walikombolewa na nani na watachukuliwa na nani?

    Ujinga huondolewaje ndani ya mtu kwa Kumtukana? Kumkebehi? Kumkejeli? Kumzodoa? Kumbeza? Kumkasirikia? Wahenga walisema "mwenye nguvu hapigani" Hekima ni nguvu kwa yeye aliye nayo
Back
Top Bottom