Recent content by HOOLIGAN

  1. H

    Ya Nyerere USSR, Mwinyi USA, Mkapa Japan, Kikwete Malaysia na Magufuli Rwanda

    Linchi kikiongozwa kwa mifumo ya siasa kijamaa Rais anakuwa Mungu. Anakuwa kama kapewa nchi iwe mali yake. Ana uhuruwa kufanya linalompendeza yeye bila kuangalia wala kujali mtanguliI wake jafanya nini au kaishia wapi. Kwa ujumla siasa za Ujamaa haziwezi kutusaidia hata kama tutafanya mambo kwa...
  2. H

    Richmond: Watanzania tulimlipa Lowassa Mil 150 kila siku...

    Ni kweli Lowassa hafai kuwa Rais lakini pia hahusiki kabisa kwenye Richmond, labda kama kuna jingine. Soma Mkataba wenyewe wa Richmond, Soma Ripoti ya Mwakyembe, wasikilize wabunge wa CCM, wa vyama vingine pia na michango ya wadau. Utaelewa vizuri, ila hutakiwi kuwa mvivu ukategemea kuambiwa tu...
  3. H

    Ajenda ya sasa ya upinzani ni nini?

    Kama mtu anadhani vyama vingi havijaisaidia nchi hii huyu Hakuna anachofuatilia. Ni mchovu mno wa fikra. Katika miaka ya hivi karibuni CCM imekuwa katika harakati za kutafuta kujisahihisha na hata kubadili Katiba yake, mabadiliko ambayo wanaCCM wanashadadia. Lakini hii yote wanasahau kuwa ni kwa...
  4. H

    Rais wangu umeona? Watanzania si waoga

    Kikundi cha kuiba kura cha CCM hakitishi sana maana kinaweza kudhibitiwa, ila tume ya uchaguzi ndio inatisha maana inaweza kugeuza A ikawa B and vise versa
  5. H

    Baada ya Nape, mawaziri njia panda

    Mafafafafafafafa watupu. Wanashindwaje kusimamia wanachokiamini. Huu ni unafiki
  6. H

    Ni dhambi kuilaumu serikali bila kushauri nini kifanyike

    Serikali hii inaongoza kwa kupata ushauri lakini pia inaongoza kwa kupuuza ushauri. 'mifano iko mingi, ila mtu shupavu wa shingo atazidi kusema toa mifano. Sijui anataka kuikariri hiyo mifano akajibie paper wapi?
  7. H

    Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

    MBOWE anakubalika ndani ya CHADEMA kuliko Magufuli anavyokubalika ndani ya CCM. Demokrasia haipo kwenye vyama vyenye itikadi za kijamaa
  8. H

    Wapinzani hata ajenda ya ukosefu wa ajira mmeipuuza...

    UKAWA wawameshafanya mengi sana kufahamisha wananchi kuwa kuna ugandamizaji nchi hii. Baadhi ya wananchi tena wengine wahanga kabisa wamekuwa wakibeza harakati zao. Hata hivyo hawajakata tamaa ndio maana tunaona wengi wakifungwa hata bika sababu zozote za msingi. Hizi zote ni juhudi zao...
  9. H

    Bombardier and Government of Tanzania Sign Purchase Agreement for Two Q400 Turboprops

    Serikali yenye mifumo ya kijamaa haiwezi kufanya biashara za ushindani. Mwisho wa haya yoote ni kufeli tu. Hakuna kitu hapa. Mambo ambayo wawekezaji wa ndani walipaswa kuhamasishwa kufanya, serikali inahangaika nayo kwa sababu ya mentality za kijamaa za miaka ya 70s na 80s. Kwisha habari ya Tz
  10. H

    Wapinzani hata ajenda ya ukosefu wa ajira mmeipuuza...

    Wapinzani ndio akina nani. Kama sio wanaokwamisha ajira zisipatikane, wanakwamisha mzunguko wa fedha hadi wewe unashindwa kujiajiri, wanaominya uhuru wa habari? Wapinzani wakubwa wa maendeleo ya nchi yetu ni CCM na mfumo wake huo wa kijamaa. Malalamiko yako yooote yawe dhidi ya hao na sio...
  11. H

    Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    Tunatakiwa kurudi kwenye Azimio la Arusha linalosema Ujamaa na kujitegemea. Misingi yake ni dola kuwa mmiliki wa Njia kuu zote za uchumi. Uchumi hodhi. Watu binafsi hawatakiwi kumiliki rasilimali. Ndiko tunakopelekwa. Sio kwamba hajui afanyacho
  12. H

    Mimi ni mmoja wa wahanga wa Country economy policy

    Magufuli anatekeleza sera za kijamaa za chama chake. Msimlazimishe awe Mjaa passive. Huo msimamo wake ni kijamaa halisi. Kwani hatujui kama Chama cha Mapinduzi ni chama cha kijamaa?
  13. H

    Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi yalipa mishahara na matumizi mengine 1.7Bn isiyo na tija

    Hii ni hali ya kawaida kwa watumishi wa Idara zote. Kufika kazini maana yake ni kusaini asubuhi saa moja na nusu. Na kufanya kazi maana yake ni kupiga stori ofisini hapo, majungu na siasa hadi saa kumi kasoro na kisha kurudi nyumbani. Kila siku hali ndio hii ila mwisho wa mwezi mshahara kama...
  14. H

    Maadui wa Paul Makonda watofautiana

    Mtoa post nawe ni adui wa Bashite. Kama wewe ni mtetezi wake basi weka vyeti hapa watu wanyamaze.
  15. H

    Dodoma: RC Makonda aongea na Wanahabari akiwaarifu ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Dar Es Salaam

    Tanzanians are not serious. Most of them are mere fools who are less interested in their own transformation and development. To them critical issues seem to be of less importance.
Back
Top Bottom