Recent content by hoof eater

  1. hoof eater

    Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    Sisi wa 24 tuende wapi sasa
  2. hoof eater

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimewachek kwa email ila hawajajibu chochote.
  3. hoof eater

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimewachek kwa email ila hawajajibu chochote.
  4. hoof eater

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii imekaaje maafisa, game toka jana mpaka sahivi haijawekwa matokeo.
  5. hoof eater

    Ukitaka kuoa usioe mwanamke mwembamba, oa mwanamke mwenye shepu na makalio makubwa

    Wanaume wasio jiamin na wenye vibamia ndio wanaogopa mademu wembamba, Eniwei! Wadada wembamba wote peponi nyie wengine lolote baya liwakute.
  6. hoof eater

    Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

    Mlitaka kumuua alafu mnataka akae kimya?
  7. hoof eater

    Hongera Afande Muliro

    Kuna watu vichwani wamebeba nnya
  8. hoof eater

    Kamanda Muliro kajichanganya kuhusu sakata la Sativa kwenye Kongamano la TLS?

    Tatizo walioshikilia dola bado wanaamini watanzania ni wapumbavu hii itawacost siku moja, jamaa kajibu maswali yote kisiasa na sio kitaalamu kulingana na professional yake. Ni wazi yale majibu yote alitoka nayo nyumban.
  9. hoof eater

    Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Usikute muandishi kakulia kotaz, hajui lolote kuhusu polisi.
  10. hoof eater

    Tusidhihaki Jeshi la Polisi kwani halina mbadala

    Bila shaka muandishi hajawahi kuingia kwenye mikono ya manjagu.
  11. hoof eater

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa blackstar singida ni majeshi since day one. Ukiwaona popote weka hela na kuna uwezekano mwakani wakacheza shirikisho YOU HAVE MY WORD.
  12. hoof eater

    Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

    Nachokijua mimi, mtume Muhammad baada tu ya kumuoa bi khadija alimuamuru Mkewe yaani bi khadija awaachie huru watumwa wake wote. NB. Mtume alitokea familia maskini hakuwahi kumiliki watumwa zaidi ya kuwapa uhuru wale aliowakuta kwa mke wake. Usiandike kitu usichokijua
  13. hoof eater

    KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

    Ukijenga kanisa utatakiwa uajiri na viongozi wa ibada, ila waislamu yeyote anaweza kua imamu inategemea mmekutana wangapi msikitini.
  14. hoof eater

    Baba na mwanae kutokufanana kundi la damu inasababishwa na nini?

    Sio mwanao huyo, angalia ustaarabu mwingine.
Back
Top Bottom