Recent content by honorto

  1. honorto

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vyombo

    Habari wana jamvi. Samahani wanajamvi, ninawazo la kutaka kufanya biashara ya kufungua duka la vyombo vya ndani. Kama kuna anaejua sehemu vinakopatikana kwa bei ya jumla jumla lakini kwa bei nzuri naomba anisaidie. Niko Mbeya Mkoa mpya wa Songwe.
  2. honorto

    JamiiForums Tanzania Clouds wamenifurahisha sana na hii kauli mbiu

    Amekumbatia fursa na atang'atuka nazo madarakani
  3. honorto

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

    [emoji3][emoji3]Nchi ya chato
  4. honorto

    JamiiForums Tanzania Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    kanumba nilimpenda nililia adi nilizimia. Lakin Lulu jaman Lulu[emoji24]
  5. honorto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

    weka picha tafadhali!
  6. honorto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za mashemeji zangu hazieleweki

    Hawana heshima[emoji35]
  7. honorto

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Ningependa sana ziwe nguo za kiume na zakike
  8. honorto

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Msaada dada wa huko Nairobi, nina mtaji wa 1,000,000
  9. honorto

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Asante wangu mana ata mimi nikikua natamani sana nijue wanako jumua vitu.
  10. honorto

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hapa Mbeya kuna maduka ya dawa asili?

    kutokana na faida za mti wa mlonge nilizo zisoma humu ndani, hivyo nimehamasika na dawa asili zitokanazo na mti wa mlonge. Nana imani kupitia tiba hii nitapona maladhi yangu yanayo nikabiri. Ivyo kama kuna anae jua lilipo duka linalo uza dawa za asili kwa apa mbeya mjini naomba naomba msaada wa...
  11. honorto

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba IPO Dododoma mjini .bei million 18

    Mbona kama kukame sana huko
  12. honorto

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi, biashara gani inalipa kutoka Tanzania kwenda Malawi na Zambia?

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  13. honorto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ambao tumewahi kudanganywa tukutane hapa

    [emoji126][emoji126]
  14. honorto

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

    [emoji29]kumbe ndo mana tuliitwa wabongo kumbe bongo zetu ni mbovu hazina uwezo wa kufikiria mambo ya msingi katika maisha yetu. Umekaa unawaza tu sumu ya nyoka[emoji35]
Back
Top Bottom