Recent content by Honolulu

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kikwete ahimiza vijana wa Mitandaoni wa CCM wakumbukwe na Rais Magufuli

    By the way, hao vijana wana elimu gani?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Afrika Kutishia Kujitoa Umoja wa Mataifa ni Utoto wa Kisiasa

    Na njaa zote walizo nazo watakuwa na mbavu za kujitoa UN?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Tanzania ni nchi pekee duniani isiyo na wizara ya elimu.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya 50% ya wabunge CHADEMA kushindwa 2020

    Ndivyo ramli ilivyokuambia?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Huyu Job Ndugai anadhani amewekwa hapo ili kupambana na wapinzani? Huyu ni wa hovyo, nafuu hata Makinda!
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunacheza na Maendeleo, mpaka sasa tunapanga utawala

    Kwa mtindo huu watanzania waendelee kuhesabu maumivu ya ufukara!
  7. H

    JamiiForums Tanzania Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

    Nadhani hii thread yako ndo upumbavu wenyewe!! Kwa hiyo ulitaka watu wakae kimya bila kuulaani huo ushetani?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nawaza tu: Magufuli kuundiwa zengwe?

    Hata Kikwete alianza na speed hiyo hiyo lakini kumbe lilikuwa ni changa la macho tu. Bila kuwashughulikia wezi wa Escrow sidhani kama Maguguli atakuwa na jipya! Ni mbwembwe tu ya nguvu za soda.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kikwete na Mkewe, Waondoka rasmi Ikulu na Kuelekea Msoga

    Nimeipenda sana hii!!!! Huu ni ukweli mtupu!
  10. H

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Nguvu za soda tu hizo.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha taarifa za Kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa

    Imekuwa ni kawaida kwa serikali kukanusha kila taarifa hata kama ni za kweli.
  12. H

    JamiiForums Tanzania The Catholic Church: The biggest Financial power on Earth

    Nani kakudanganya? No research, no right to speak!
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Zanzibar na hatma ya Tanzania

    CCM wasipoangalia vurugu zikianza tu Zanzibar zinaweza kusambaa hadi bara!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Zanzibar na hatma ya Tanzania

    CCM mpeni haki yake Seif Sharif Hamadi.
  15. H

    JamiiForums Tanzania The Catholic Church: The biggest Financial power on Earth

    Majina mengi hapa JF ni fake.
Back
Top Bottom