Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

Status
Not open for further replies.
AFRIKA KUILILIA PARIS NI UPUMBAVU!

Kama si unafiki ni nini?
Kafiwa jirani chozi mpaka kifuani!
Sijafurahia na ninalaani Mauaji ya watu wasio na hatia Ufaransa na popote Duniani, nawapa pole wafiwa na nawaambia Wafaransa mjifunze kwa hilo na mjifunze UTU.
Na nachukuwa nafasi hii kuwaambia Waafrika wenzangu Tukome kujipendekeza!
Unajua kwamba, Wafaransa wamewakalia na kuua mamilioni ya waafrika, waliiba na kuharibu mali, Ardhi na kuua wanyama.
Katika vita ya Uhuru wafaransa waliwaua wa Algeria zaidi ya Milioni moja, Dunia haiumii wala haizungumzii hilo.
Watu wa dunia ya leo wakiwepo baadhi ya waafrika wenzetu wameshikwa na uchungu sana, wanatuma ujumbe kuwa Mwafrika si Binadamu mwenye thamani sawa na wafaransa waliouawa.
Dunia inajua kuwa wafaransa hawa wanashirikiana na Marekani kupiga mabomu Afrika ya kaskazini na Mashariki ya kati, kuvamia na kuua nchini Mali na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Lakini Dunia haisikii uchungu.

Wafaransa hawa walipokuwa wanaondoka kuziacha nchi za Afrika walichukua mali zao zote na kuharibu kila kitu ambacho walikiweka; Shule, majengo, walichoma magari, vitabu, dawa, tafiti. Waliangamiza wanyama kama farasi, ng'ombe na kuharibu mashamba na chakula cha kwenye maghala kwa sumu na moto. Pamoja na roho mbaya hii yote nchi 14 za Afrika zilizotawaliwa na Mbwa hawa bado zinaendelea kulipa kodi ya UKOLONI kwa Ufaransa tangu uhuru wao mpaka leo!
'Ashakum si matusi'
Mbona siwaoni waafrika wenzangu kushtuka na kulaani haya, hawa mabwana Magharibi wametuloga na uchwai gani? Walianza kuchezea Konzi za Dada zetu, wameshika migongo ya Mama zetu tunawachekea, wamewaua Baba zetu, leo tunaacha kuomboleza misiba yetu waliyotuachia tunawaombolezea wao kwa kwakushusha Suruali zetu nusu mlingoti, tukitiwa Ujiti hadharani tutaficha wapi nyuso zetu?

Na
Maembe Vitali

Kichwa chake nimeandika mimi.
 
nakuunga mkono mkono jamaa angu, wafaransa waliingi libya wakaongoza vita dhidi Gadaffi, lakini Africa hakuwa na msimamo wowote juu ya ndugu zetu , acha wafilie mbali huko
 
Sipingi hayo yaliyofanywa na wafaransa toka ukoloni, lakini ukichukulia historia za mambo hayo basi ilibidi tuwalaumu pia waarabu kwa mateso,uporaji wa maliasili zetu na mwisho kutuuza kama magunia ya korosho kwenye biashara ya utumwa .
 
Waafrika ni kama manyumbu, kumbu kumbu zetu ni fupi kama pichu.. waafrika ni malofa lofa, hawajiamini na hawana agenda yoyote ya maisha hapa duniani.. Waafrika wengi huwaonea huruma pia Waisrael na kuwalaani Mafarao. Nadhani ni kutokana na ujinga wa kutopenda kuhoji maswala wanayoambiwa na wazungu..

Kama waafrika wangekuwa na akili, leo hii ndo wangepaswa kuendesha jihadd dhidi ya wazungu na siyo waarabu maana sie ndo tulidhulumiwa kupindukia.

Tufundishane kuacha unyumbu, tujitambue kama waafrika na tupendane..
 
Wewe ndiye mpumbavu nambari moja unayejifurahisha katika uvunjifu wa haki na mauaji ya binadamu wasio na hatia yanayofanywa na haya makundi ya kigaid. Pumbavu sana wewe.
 
WASTEGATE walipokufa MLIBADILISHA PICHA kwa bendera ya KENYA?????? ACHENI UPUMBAVU BASI!

huzuni, walokofu si NG'OMBE, lakini msifanye mambo ya utumwa wa kifikra kiasi hiki.

Misiba ikitokea Ulaya ndio inauma, kuliko ya Afrika. Kuna Wasiria wengi wanakufa katika nchi yao na wengine wanakufa baharini, hakuna msiba mkubwa kama ule wa kuona maiti ya mtoto iloletwa ufukweni na maji ya bahari.

Dunia haijawahi kuguswa na hili kwa kiwango kukubwa ukilinganisha la Paris.
 
AFRIKA KUILILIA PARIS NI UPUMBAVU!

Kama si unafiki ni nini?
Kafiwa jirani chozi mpaka kifuani!
Sijafurahia na ninalaani Mauaji ya watu wasio na hatia Ufaransa na popote Duniani, nawapa pole wafiwa na nawaambia Wafaransa mjifunze kwa hilo na mjifunze UTU.
Na nachukuwa nafasi hii kuwaambia Waafrika wenzangu Tukome kujipendekeza!
Unajua kwamba, Wafaransa wamewakalia na kuua mamilioni ya waafrika, waliiba na kuharibu mali, Ardhi na kuua wanyama.
Katika vita ya Uhuru wafaransa waliwaua wa Algeria zaidi ya Milioni moja, Dunia haiumii wala haizungumzii hilo.
Watu wa dunia ya leo wakiwepo baadhi ya waafrika wenzetu wameshikwa na uchungu sana, wanatuma ujumbe kuwa Mwafrika si Binadamu mwenye thamani sawa na wafaransa waliouawa.
Dunia inajua kuwa wafaransa hawa wanashirikiana na Marekani kupiga mabomu Afrika ya kaskazini na Mashariki ya kati, kuvamia na kuua nchini Mali na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Lakini Dunia haisikii uchungu.

Wafaransa hawa walipokuwa wanaondoka kuziacha nchi za Afrika walichukua mali zao zote na kuharibu kila kitu ambacho walikiweka; Shule, majengo, walichoma magari, vitabu, dawa, tafiti. Waliangamiza wanyama kama farasi, ng'ombe na kuharibu mashamba na chakula cha kwenye maghala kwa sumu na moto. Pamoja na roho mbaya hii yote nchi 14 za Afrika zilizotawaliwa na Mbwa hawa bado zinaendelea kulipa kodi ya UKOLONI kwa Ufaransa tangu uhuru wao mpaka leo!
'Ashakum si matusi'
Mbona siwaoni waafrika wenzangu kushtuka na kulaani haya, hawa mabwana Magharibi wametuloga na uchwai gani? Walianza kuchezea Konzi za Dada zetu, wameshika migongo ya Mama zetu tunawachekea, wamewaua Baba zetu, leo tunaacha kuomboleza misiba yetu waliyotuachia tunawaombolezea wao kwa kwakushusha Suruali zetu nusu mlingoti, tukitiwa Ujiti hadharani tutaficha wapi nyuso zetu?

Na
Maembe Vitali

Kichwa chake nimeandika mimi.
Nadhani hii thread yako ndo upumbavu wenyewe!! Kwa hiyo ulitaka watu wakae kimya bila kuulaani huo ushetani?
 
Kabisa Mkuu umenena tupunguze unyumbu.. Sisi miafrika yaaani
 
Hii thread yako ndo upumbavu wenyewe!! Kwa hiyo unafurahia mauaji ya watu wasio kuwa na hatia?

sijui nikupe tusi gani we poyoyo yaani ukisoma mwanzo hadi mwisho wa huo uzi kuna sehem umeona ameandika kufurahia hilo tukio?ma ma ma eeee sijui wasoma drs la ngapi we mtoto
 
We nae mbulula kweli! Sasa na wao wakiamua kulipiza kisasi duniani kuna amani tena? Unatumia vikalio vyako kufikiria.
 
Thats culture transportation wao wanaweza fanya vitu kama hivyo kwa sababu wanauzalendo na wanafanya culture transportation mnazozipokea kwa mikono miwili wakati nyie ndio kwanza mwenge wa uhuru mnaupiga vita kila mkiuona, mara zanzibar ijitenge, ohoo sijui tunataka majimbo; as my man Marley said it if you dont stand for something you will fall for anything.

The same people killed 42 people in Lebanon a day before no one bothered because it wasnt in the western interest now that it happened in their own houses they see the pain.

At the end of the day unasimama wapi wafirikie walioukufa bila ya hatia that is humanity perspective regardless of the politics behind it a show of solidarity is necessary; lakini lazima tuelewe tunamajukumu na mipaka ya Tanzania sisi wenyewe sio wengine, hizi habari za mimi siangalii tena star tv wala TBC kisa siasa si ndio utaangalia hizo za wazungu na bendera kwa nini usiweke wakati ndio vitu unavyoona ata kama avikuhusu.
 
Sipingi hayo yaliyofanywa na wafaransa toka ukoloni, lakini ukichukulia historia za mambo hayo basi ilibidi tuwalaumu pia waarabu kwa mateso,uporaji wa maliasili zetu na mwisho kutuuza kama magunia ya korosho kwenye biashara ya utumwa .
Tuwalaumu hata machifu walioshirikiana na waarabu kutuuza utumwani.Tuwalaumu pia machifu mambo leo wanaochuuza rasilimali zetu kwa bei ya kutupa.
 
Nadhani hii thread yako ndo upumbavu wenyewe!! Kwa hiyo ulitaka watu wakae kimya bila kuulaani huo ushetani?

Wewe ndio mpumbavu mwenyewe,iraq mpaka sasa watu 3000,000 wameuwawa mbona hamsikitiki mnasikitika vijitu 180 tena vizungu.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Shenz sanaaa.... Mi naona kulaani tu inatosha ila sio kuanza kuweka mapicha ya bendera zao... Maana huku kwetu tukifa hata 100000 kwa mauaji waliyosponsor wenyewe they don bother ....

Waafrika tunapenda kuwaplease westerners in all aspects...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
yani umeongea vizuri mulemule..ati uko kwa facebook adi profile pic bendera za ufaransa hivii yani dah..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom