Recent content by Honey pie

  1. H

    JamiiForums Tanzania Wachepukaji wengi wana tabia hizi

    Hivi kuwekwa dp na status ni kipimo cha kupendwa eeh
  2. H

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

    Watangazaji wengi wa clouds wanawanyapia sana WCB sema hawataki kujionyesha
  3. H

    JamiiForums Tanzania Harmonize (Konde Boy) usiipe kisogo hadhira iliyokutoa jalalani

    sawa vzri
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

    Angekuwa WCB wangesema wimbo una matusi haaahaaa
  5. H

    JamiiForums Tanzania Harmonize (Konde Boy) usiipe kisogo hadhira iliyokutoa jalalani

    Samahani mkuu ulishawahi anguka na ukaanza upya eeh
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mnaofuatilia soka la Bongo mna moyo mgumu sana. Soka halivutii kabisa

    Nye nye nye
  7. H

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

    Boss Joe ni genious sanaaaa
  8. H

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

    Mjini shuleee
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

    Hongeraa kwa kuipenda familia
  10. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo asubuhi redioni

    Kwani unateseka
  11. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwapokea Timu zetu zinaporudi baada ya kushinda. Ushauri kwa TFF

    Umenikumbusha Croatia mwaka jana walipokelewa vzrii kweli yaani wangekua mabingwa cjui ingekuwaje
  12. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutafsiri ndoto.

    Natumai mpo wazima kama kuna ambaye sio mzima Mungu amponye. Jaman mara nyingi huwa naota ndoto naokota hela na huwa naokota nyingi kweli na hata tukiwa wengi mimi huwa naokota nyingi kuliko wenzangu.Naomba kwa anayejua tafsiri ya ndoto hii sababu inajirudia mara kwa mara..Asantee
Back
Top Bottom