Recent content by Honest One

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kuhusu wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera

    Karibu
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kuhusu wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera

    Upo sawa mkuu,kama atapanda ndege basi itabidi ashukie Bukoba then achukue gari za kwenda Ngara ambapo zipo njia mbili; moja inapitia Biharamulo nauli ni sh. 20 elfu( hii njia ni ndefu) nyingine inapita Karagwe na nauli ni sh.15 elfu. Hapo ni bora akapanda Bus zinakwenda Rwanda wamshushe Benako...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ni mnyama ama mdudu gani unayemuogopa kuliko wengine?

    Alipona huyo mdada?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ni mnyama ama mdudu gani unayemuogopa kuliko wengine?

    Muonekano wake ni wa ajabu sana.
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naiona Real Madrid ikibeba Uefa Champions League 2018

    Huu ubingwa nawapa Bayern au Madrid
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special thread: Misemo ya Mwl.Kashasha

    Huwa anatangaza kupitia redio gani?
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Somo kwa wahafidhina wa Laliga

    Alafu wewe ukisema timu zenye ushindani sijui unatumia kigezo gani? Yaani mpaka sasa hivi Asernal na Liverpool bado unaziweka kwenye kundi la timu zenye ushindani Ulaya? Liverpool tu yenyewe msimu huu imebahatisha bahatisha tu.
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Somo kwa wahafidhina wa Laliga

    Mkuu baada ya Man u kupigwa na sevilla nafikiri ulijificha kwenye pango mpaka sasa hivi. Maskini akipata matako ulia mbwata.
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye watoto waliotelekezwa wafurika ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda kushitaki

    Hao watumishi wa Mungu wanajitahidi kutunza mbona.Huwa hwatelekezi.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kwenu Moderators wa JF, mkitupiga ban muwe natuambia makosa yetu.

    Hapa nimepigwa ban lakini sijui kosa langu ni lipi. Alafu nimeshaona siku hizi hamtaki post zinazokosoa serikali. Uzi wangu wa mwisho niliouweka humu ni kuhusu walimu ambao hawakuchangia mwenge kuitwa na mkuu wa wilaya kutoa maelezo kitu ambacho ni kweli.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anamtishia kumpeleka mahakamani kwa kuwa alimpa mimba akiwa mwanafunzi

    Akiwa mwanafunzi ni hadi miaka 25 jomba
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anakojoa Kitandani, nifanyeje aache?

    Mwambie anywe maji yaliyoosha mchele kila siku kwa kipindi cha siku nne au tano. Akipona usisahau kuleta mrejesho na kunishukuru.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Chui amemfuata mamba majini akamzabua nje na kummaliza

    Huyo ni jaguar na alligator. Alligator ni mamba wadogo nadhani wanapatikana amerika ya kas na kusini na hata jaguar wanapatikana pande hizo.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Tanzania: Juma langu la Kwanza ndani ya Ukraine, Odessa

    Naitaka sana hiyo kazi.
  15. H

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

    Mmmh!
Back
Top Bottom