Recent content by Honest boy

  1. H

    JamiiForums Tanzania GE2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    Magufuli has proved him wrong ... All I saw and knew today is Tanzania will be safe under John Magufuli
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    wote leo wanajitahidi ila Polepole yupo vizuri zaidi
  3. H

    JamiiForums Tanzania Buriani Mhe. Komba wa 'Joka la kufugwa'

    Tuna imani roho yake haijafa... ndo mana kuna mambo ya laana za marehemu etc... all in all ni vibaya sana kumkejeli na kumdharau mtu aliyekufa
  4. H

    JamiiForums Tanzania Buriani Mhe. Komba wa 'Joka la kufugwa'

    Upumzike kwa Amani Captain Komba... Uwasamehe wote wanaotumia kifo chako kukuhukumu kwa kejeli bila kujali maumivu familia yako inayopata... ulikua mwanasiasa ambae kama mwanasiasa mwingine yoyote ulitetea upande wako...Tanzania itakukumbuka daima
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu kuwa na Waziri kama Membe Wizara ya Mambo ya Nje

    Upo biased mkuu...mimi co msemaji wa Membe true lakini nilisikiliza kila aliloongea nashangaa tu jinsi ulivyokurupuka kuandika uongo. Mtu aliyeangalia ile habari na kusikiliza kwa makini atajua umesema uongo uliotukuka.. Membe hakuegemea upande wowote either Palestine au Israel alistick tu...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu kuwa na Waziri kama Membe Wizara ya Mambo ya Nje

    Mkuu embu rudi tena kaisikilize alichoongea maybe kwasababu humpendi thats why hukumskliza vizuri
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu kuwa na Waziri kama Membe Wizara ya Mambo ya Nje

    Labda kuna agenda imejificha...anyway tuwaache walale
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu kuwa na Waziri kama Membe Wizara ya Mambo ya Nje

    Mbona nimemsikiliza hamna sehemu aliyoilaani either israel au palestina bali alisema Tanzania inalaani ghasia izo na inaomba juhudi za kuleta amani zifanywe haraka....sometimes ata kama humkubali mtu please usimzushie vitu vya uongo
  9. H

    JamiiForums Tanzania Urais SAUT, Saimon Philibert aibuka kidedea

    Umesahau kuwa mbowe ni lutheran...mtei lutheran...makani mwislamu....katoliki wapi apo??? Au slaa ndo mkuu wa chama
  10. H

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Askofu Desmond Tutu naye amlaum Yoweri Museveni

    Dont mess with nature.....
  11. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni kumbukumbu ya Dr Daud Balali aliyekuwa gavana wa BOT

    Kumbe ditopile na yeye walimfanyizia..du
  12. H

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa Membe kutoikojolea mbeleko ya gazeti anayobebwa nayo na familia ya JK?

    To me Membe ndo atafaa..kwa mbali namwona january makamba...membe yupo strict na atakua bomba ku handle mambo ya nje.EL alifaa 2005 co sa hv tena..hiv sisi tutakua watu wa aina gan kumpa mtu aliyehusika na kashfa kubwa kwny nyadhifa kubwa zaidi...lakin pia afya yake inatia wasiwasi juc lyk...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha Maaskofu Amedeus Msarakie na Thomas Laizer..

    Namkumbuka sana Askofu Msarikie...wapumzike kwa amani
  14. H

    JamiiForums Tanzania Sema chochote kuhusu wachaga

    Kama unapajua vizur nadhan utakua mjinga kusema kwamba malaya ni wachaga kwa sabab kuna vyuo vitatu sa hv pale moshi muccobs,kcmc,mwenge bado kuna stefano moshi,,,,so nadhan ushaelewa
  15. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ana kazi gani?

    Sasa kwan haruhusiwi kufanya hivo??ndo mana nkakwambia ni jicho la pili la raisi,,,anaangalia nini kinaendelea katika nyanja za chini za uongozi..na anatoa ripoti kwa raisi...naona umeelemea kwenye iyo point moja tu ya usafi lakin anafanya vitu vingi sana
Back
Top Bottom