Recent content by Homesickness

  1. Homesickness

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, polisi wamechukua vitu wanadai risiti

    Yeye ni fundi simu sasa inaonekana aliwahi nkununua simu kumbe mtu alie muuzia kaiba so akachukuliwa kwa kosa la kununua mali ya wizi (alichukuliwa asubuh) mchana karudi na askar ndo wakachukua hivo vitu sasa wakadai risiti ya hivo vtu jamaa hana
  2. Homesickness

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, polisi wamechukua vitu wanadai risiti

    Vilkua ndani kwake sababu hawajaitaja
  3. Homesickness

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, polisi wamechukua vitu wanadai risiti

    Jamani polisi wamechukua vitu vya ndugu yangu na wanadai apeleke risiti vitu hivo vimenunuliwa mda sana naomba kwa wazoefu wa sheria au aliyewahi tokewa na tukio kama ili alifanyaje had akavipata vitu vyenyewe ni pamoja na; monitor,subwoofer,na deki... NB vyote havina risiti lakin ni mali halali...
  4. Homesickness

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Asilimia 99% ya majina ni wakike duuh
  5. Homesickness

    JamiiForums Tanzania Kwa wanafunzi waliopata div 3 ya point 22 hadi 25

    Mwambie huyo
  6. Homesickness

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani ulitumia kufaulu mitihani yako ngazi ya CSEE?

    Oral et labora
  7. Homesickness

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani ulitumia kufaulu mitihani yako ngazi ya CSEE?

    Or a let labor
  8. Homesickness

    JamiiForums Tanzania Form five selection zinatoka lini?

    Watoe tu mana wengine wapo class tangu mwez march
  9. Homesickness

    JamiiForums Tanzania Kwa wanafunzi waliopata div 3 ya point 22 hadi 25

    Uhakika....???
Back
Top Bottom