Recent content by HOMBOY

  1. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Chenge na Ngeleja kuongoza kamati ya sheria ndogo ya Bunge, najifunza haya

    Masikini mama Tanzania. Tundu Lisu upone haraka njoo huku utusaidie wenzio,wale mchwa wa vijisenti wamerudi tena kwenye ulingo
  2. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Siku Ben Saanane akionekana itakuwaje?

    Polisi watasema uchunguzi unaonekana alijiteka
  3. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    transaction completed
  4. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Lowassa azingirwa na polisi nyumbani kwake Monduli ashindwa kwenda kumnadi mgombea

    hadi wanakera nimesema JF watoe hiyo picha na clip ya huyo ACP hapo juu.naiona ya zimbobo
  5. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Lugha gani ni ngumu kuliko zote?

    ki Iragw
  6. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kipya ulichojifunza mwaka huu ambacho ulikuwa haukifahamu

    Nimejifunza ukiwa mzalendo kwa nchi yako,msemakweli na mtetezi wa wanyonge umalimwa shamba mchana kweupe na watuwasiojulikana.lakini madikiteta wanaachwa huru
  7. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Polisi Tunduma wanamtafuta kwa nia ya kumkamata Naibu Katibu Mkuu Bara John Mnyika kwa tuhuma za kumuita Rais Dikteta

    sujui kaka kasema,na kama alisema kwani ni uongo,hao madogi waache kujipendekeza kwa huyo dictate
  8. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Mugabe adaiwa kujiuzulu kwa masharti, ataka yeye na mkewe wapewe ulinzi wa kudumu. Mali zao zisiharibiwe

    hili li zee bado gangari anaweza kwenda matuta 120 kwa umri, akiangalia zimbabwe inaendaje
  9. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Kama uenyekiti ndio hivi, wakionja urais watafia Ikulu

    Kamba ambavyo chama cha mauaji kinafanya kwa sasa
  10. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Mke wa Lissu ataka kuwajua waliotumwa na aliyewatuma kumuua mume wake. Wana mpango gani tena?

    nawe mbona wakitajwa tu polisi pamoja na watuwasiojulikana unapata mawenge au ni mojawao nini.chama cha mauji
  11. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Mke wa Lissu ataka kuwajua waliotumwa na aliyewatuma kumuua mume wake. Wana mpango gani tena?

    nawe acha kutumika ki ovya ovyo,dereva wa nini wakati Lisu mwenyewe yuko hai na anakuja.Kuandika tu ulichoandika ni unafiki
  12. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa Udiwani CDM Avamiwa

    JF watoe hiyo picha ya ACP hapo juu hatakama.....
  13. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania CHADEMA NYASA: Msafara wa John Mnyika Wavamiwa na Polisi, Waingia ndani ya gari la Mnyika na kuchukua vitu Mbalimbali

    nikiona mambo ya kihuni na yahovyo yanayofanywa na jeshi letu la polisi dhidi ya wapinzani na raia wake,napata kichefuchefu nikioni hiyo picha na clip ya ACP MWAKALUKWA hapo juu,eti tuzungumze,ujinga mtupu
  14. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Nina kipaji kikubwa sana lakini kinapotea

    ungana na Dr.shika mkafungue taasisi,mna mawazo yanayoendana
Back
Top Bottom