Recent content by HolySinner

  1. H

    Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

    Mh, we mdada, sijui kama ni mdada kweli au zuga tu??!!! Nadhani hauko serious. Hivi unawezaje kusema mambo kama hayo kuwa unataka mwanaume legelege na utakayemdhibiti halafu utegemee aje kweli. Hakuna mwanaume anayependa kudhibitiwa. Hilo sahau. Sanasana atakuja mtu atakupiga ngozi atasepa. Pole
  2. H

    Mke wangu amenisaliti kwa ushahidi wa mazingira, nifanye nini?

    Mkuu, pole sana. I feel ur pain. Ingekuwa mimi ningeshamdedisha. Hawa wanawake wa hovyo sana. Lazima atakuwa keshaliwa na huyo jamaa. Hebu tafuta namba ya hilo jizi lako kisha ulipeleleze. Ukilipata lifundishe adabu. Huyo mama mtafutie adhabu zaidi. Kichapo tu hakitoshi
  3. H

    Wasichana wenye elimu ya juu,ni matatizo.

    Nadhani hapa suala sio mtu kutishwa na elimu ya mtu. Hapa hoja ni kwamba wanawake kwakisoma wanakuwa na nyodo. hawaheshimu wanaume kadiri inavyopaswa. Hebu tuangalie hili ni kweli? Mimi binafsi naona ni kweli. tusipindishe hoja
  4. H

    Zijue sheria ''mama' za infidelity...

    Kweli hii muhimu sana. Pia kuna vile visabuni vidogo vidogo vile sijui vinaitwagaje
  5. H

    Faida za kutoka nje ya ndoa

    i Binafsi hunisaidia sana kumhehsimu mke wangu. Unajua ukishapiga nje unakuwa kama unajihisi una hatia hivi, kwa hiyo mapenzi yanakuwa kwa sana. Halafu unaona kuwa kule nje hakuna cha ajabu - sana sana mambo madogo mamdogo tu. Pia nje kuna mambo unaweza kuyaomba na ukayapata - nyumbani huwezi...
  6. H

    Wavulana na suruali chini ya makalio,vipuli,kujichubua na kusuka'Je kuna faida gani?

    Bandugu bapenzi, Hii mada imenisisimua sana. Lakini, ninaona tunaijadili huku, wengi wetu, tukiwa tumejaa 'cultural prejudice'. Waswahili wanasema maamuzi mbele ya kitamaduni. Cha msingi, hebu jaribu kuwa kwenye viatu vya mwenzako. Mshikachuma aligusia kidogo hili aliposema kila mtu ana uhuru wa...
  7. H

    Anapenda ku-date wanawake wenye mimba tuu

    Hii story inanifanya niogope sana. Hivi hawa dada/wake zetu wana nini? Kumbe huwa wanatoa hata wakiwa na vitumbo!!! Tumekwisha
  8. H

    Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

    Wanawake wanatongoza kwa njia ya kujitongozesha. Lakini mara cheche wanatongoza moja kwa moja. Inawezekana
Back
Top Bottom