Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,810
- 623
umeona eenh hata mm nimehisi hivyo.hahahhaah kwa hiyo maam aliolewa na punga au mie sijakupata!!!

kuna vitu vya kuacha na vikapita km fashion lkn cku izi vijana wanaharibika na tusipo kemeana tutakuja kuvaliana hadi magaun alaf cjui tutaendelea kusema ni fashion itapita!!vijana wengi nowadays thy r nt gentle wako kuajabu mmmno
Heshima yenu wakuu!
Siyo siri kunavitu vinanitatiza sana na bado sijavipatia majibu toshelezi....naleta kwenu ili tusaidiane idea.
Jamani utakuta mkaka au wakaka amevaa pensi au suruali mzuri sana lakini cha kushangaza utaona upande wa nyuma
kaachia inaning'nia chini ya ****** na hana wasiwasi wowote! wenyewe wanaiita kata K.
Pili utakuta mwanaume ametoga masikio yake na kavaa heleni (vipuli) au utakuta ana ring kwenye ulimi au kwenye lips zake.
Wanaume wengine wanafikia hatua ya kujichubua na kusuka nywele (lakini sio mashoga) wanatembea barabarani na hawana
hata mshipi wa aibu! Tena cha kushangaza unaweza mkuta au wakuta ameambatana na mwanamke mzuri na mwenye heshima
zake.
Jamani wanaume kuvaa chini yamatako,hereni,kujichubua na kusuka kuna faida gani? na wanawake wafanye nini? Na kama kuna
faida basi tuelezane ili sisi tusioelewa ili tufunguke na tuone kitu cha kawaida tu. - Nawasilisha kwa mgongano wa kimawazo na kimtizamo.

huo ni ushoga! Mwanaume unatoga sikio! Unavaa hereni, una kipini cha lips au ulimi! Yani hapo ni ushoga tu mijitu namna hiyo mashaka wanakua sio strait, wao ni bi or gay.

Bandugu bapenzi,

Hii mada imenisisimua sana. Lakini, ninaona tunaijadili huku, wengi wetu, tukiwa tumejaa 'cultural prejudice'. Waswahili wanasema maamuzi mbele ya kitamaduni. Cha msingi, hebu jaribu kuwa kwenye viatu vya mwenzako. Mshikachuma aligusia kidogo hili aliposema kila mtu ana uhuru wa kuvaa anavyotaka.

Mimi, kwa maoni yangu, naona ikiwa mwanaume anaona ni vema kugaa blauzi na sketi, na hakai uchi mbele za watu - ruksa. Ikiwa wewe husuki, na huoni vibaya mwanaume wa Kimasai kusuka na kuvaa hereni, hebu waache wengine waishi kutokana na wanachoona kinafaa.

Ufike wakati tuachane na udikteta wa kihisia na kitamaduni na kushikilie tunu zilizo muhimu kwa maadili yetu.

Mbona siku hizi hakuna kelele kwa wanawake wanaovaa mashati na suruali? Tumezoea. Kuna ubaya? Hakuna.

Hongera mleta mada. ni nzuri

Kabla sijasema lililopo moyoni tafadhali sana,

tena nawaomba tafadhalini sana...

Msitumie 'culture' au 'utamaduni' katika kutetea hoja zenu whether katika kukubaliana na topic ama kuikataa!

Natanguliza shukrani.
Siku ya siku kutokana na mambo ya kuiga utasikia gay parade in Dar
Mkuu... you are too harsh...Na pia hata kama kuna tatizo la umeme...maisha lazima yaendelee kwa upande mwingine...Kumbuka wanaofanya haya ni 'teenagers'...Sasa kwa akili yake unataka akae aje na 'solution' ya umeme..kweli?. Kama walivyosema wadau wengine..haya ni mambo ya mpito..na sanasana yanaenda kutokana na 'rika',aina ya malezi..pengine na 'taaluma'..(wanamuziki..n.k)Kufanya hivyo hakuna faida yoyote ila ni ulimbukeni na ni upumbavu mtupu kwani wao ukiwaulizia hawana majibu!
Wabongo tumekuwa na tabia ya kuiga mambo mabaya tu na tunakuwa wabunifu wa mambo ya ovyo ovyo kila kukicha. Tumeshindwa kubuni njia ya kutatua tatizo la umeme tumekaa kubuni kufaa kata k.
Kwa upande mwingine hawa dada zetu ndo siku hizi hamna kitu kabisa kwa upande wa mavazi yaani ni zero kabisa! Ni upumbavu, ulimbukeni na ni ujinga kabisa!
utaambiwa ndio mambo ya kisasa hayoHeshima yenu wakuu!
Siyo siri kunavitu vinanitatiza sana na bado sijavipatia majibu toshelezi....naleta kwenu ili tusaidiane idea.
Jamani utakuta mkaka au wakaka amevaa pensi au suruali mzuri sana lakini cha kushangaza utaona upande wa nyuma
kaachia inaning'nia chini ya ****** na hana wasiwasi wowote! wenyewe wanaiita kata K.
Pili utakuta mwanaume ametoga masikio yake na kavaa heleni (vipuli) au utakuta ana ring kwenye ulimi au kwenye lips zake.
Wanaume wengine wanafikia hatua ya kujichubua na kusuka nywele (lakini siyo mashoga) wanatembea barabarani na hawana
hata mshipi wa aibu! Tena cha kushangaza unaweza mkuta au wakuta ameambatana na mwanamke mzuri na mwenye heshima
zake.
Jamani wanaume kuvaa chini yamatako,hereni,kujichubua na kusuka kuna faida gani? na wanawake wafanye nini? Na kama kuna
faida basi tuelezane ili sisi tusioelewa ili tufunguke na tuone kitu cha kawaida tu. - Nawasilisha kwa mgongano wa kimawazo na kimtizamo.
Heshima yenu wakuu!
Siyo siri kunavitu vinanitatiza sana na bado sijavipatia majibu toshelezi....naleta kwenu ili tusaidiane idea.
Jamani utakuta mkaka au wakaka amevaa pensi au suruali mzuri sana lakini cha kushangaza utaona upande wa nyuma
kaachia inaning'nia chini ya ****** na hana wasiwasi wowote! wenyewe wanaiita kata K.
Pili utakuta mwanaume ametoga masikio yake na kavaa heleni (vipuli)