Hata ukitoa mifano1000 ni ya kujenga kweli na kuelimisha. Wanaume ambao wanahangaika na kuumizwa na wanawake wakisoma hizo post zako elimu tosha...safi sana unafaa hata kutoa semina za mahusiano. MUNGU akubariki sana upate mwanamke ambaye ataendana na wewe na mtapiga hatua kubwa sana katika...
Una akili sana unless otherwise ungekuta umemkubali wakati mschana ni mchafu wa tabia na angekuletea magonjwa na hata wengine wanashirikiana na majambazi.
Halafu hapa majuzi kati kulikuwa na topic moja hivi usiku ilikuwa inachangiwa comments kulikuwa na mwanamke mmoja na mwanaume walikuwa wanaonyesha kujuana sana kwa chati zao halafu hizo chat ni kama sex chat nahisi ndio hao watakuwa wamemuumiza huyu bro.
Ndio inavyotakiwa ujitambue hivyo ili usipelekeshwe na chochote maana hii dunia haina huruma wala watu wake hawana huruma. People are so selfish wanaangalia maslahi yao tu binafsi
Angempotezea huyu mwanamke sababu mara nyingi maumivu ya mapenzi humfanya mtu akose nguvu ya kupigania maisha. Angemwomba Mungu amsaidie ili aweze kumsahau kabisa na kuendelea na maisha mengine.
Bro nakushauri wataje wanatumia majina gani hapa JF tuambie huyo mwanamke na mwanaume majina wanayotumia hapa JF halafu tudeal nao sisi. Kumbe this is serious. Naomba unisamehe kama nilikujibu lolote ambalo halikukupa faraja na likakuumiza, pole sana ila huyo mwanamke hakufanya vizuri na...
Watu kuweni makini basi mnapoleta maada yoyote!!! Sawa mnahitaji comment na like basi atleast leteni maada ya uhakika ambayo kweli inastahili comment na like.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.