Ijue gari yenye cc kubwa iliyozinduliwa juzi Dubai

Watu kuweni makini basi mnapoleta maada yoyote!!! Sawa mnahitaji comment na like basi atleast leteni maada ya uhakika ambayo kweli inastahili comment na like.
 
Cc 162,000 ,mtoa mada cc maana yake ni cubic capacity,darasa la saba ukusoma zile hesabu area ya silinda?ulikua jibu lazima uliwekee cm^3 ,unafiri maana yake ni nini?
 
Huyu jamaa kaleta chai ya maziwa kabisa....
Cc 162500 hiyo ni meli kabisa mzee
 
Back
Top Bottom