Recent content by Hollie

  1. Hollie

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Utambulisho Msanii mpya Wa WCB (Zuchu)

    Kama bado unafikiria harmonize kurud wcb bado upo nyuma sana mzee Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. Hollie

    JamiiForums Tanzania Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa.

    Sitaki kuamini kama haya maneno yameandikwa na mwanaume. Uanze kuvalishwa pads itapendeza zaidi
  3. Hollie

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tanzania ina Matoleo mangapi ya Katiba tangu kupata Uhuru

    Hapana hii ya mwaka 1965 ni katiba inajitegema. Inaitwa interim constitution of 1965. It is also known as one party constitution. Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. Hollie

    JamiiForums Tanzania Diamond kapoteza mvuto?

    Kama huna cha kuongea bora ukae kimyaaa tu[emoji850]
  5. Hollie

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kupima ukimwi au magonjwa mengine ya zinaa ilikuwa lini?

    Kama umewah cheza rough mbaya hili swala huwa linakua gumu obviously na pia kama unacheza game salama zaidi pia huwa kunakua hakuna sababu zozote za kwenda kupima. Personally cjawah na sababu ni moja kati ya izo mbili apo juu[emoji4]
  6. Hollie

    JamiiForums Tanzania Movie Reviews

    Sense8
Back
Top Bottom