Habarini. Tanzania has how many constitution edition since independence? Kwa mwenye kujua hili swali naomba anijuze..
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu...vp mwaka 1965 Baada ya J k nyerere ku abolish multiparty system(TANU, UTP, AMNUT, ANC) na kubakiwa na single party system(TANU). Je hapo katiba haikufanyiwa marekebisho?Katiba tunayotumia sasa ni ya mwaka 1977 ambayo imekuwa ikifanyiwa marekebisho kwenye baadhi ya vipengele kutokana na mahitaji. Toka uhuru tumewahi kuwa na constituion editions zifuatazo;
-the Independence Constitution (1961), hii tuliirithi kwa kiasi kikubwa toka kwa mkoloni muingereza, nchi ilikuwa inaongozwa na Governor General ambaye alikuwa mwakilishi wa Malkia na serikali ilikuwa inaongozwa na Waziri mkuu(Prime minister or First Minister)
-the Republican Constitution (1962), Tanganyika inakuwa jamhuri, hapa ndio bunge likafanyia mabadiliko makubwa katiba iliyopita na kuweka rasmi cheo cha raisi ambaye pia ni amiri jeshi mkuu.
- the Interim Constitution of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar (1964), hii ni katiba mpya baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
-Constitution of the United Republic of Tanzania (1977) hii ndio inayotumika hadi sasa, ambayo ni toleo/edition la nne.
haya nipeni likes nikanunue bando
Yes, mwaka 1965 yalifanyika mabadiliko kadhaa kwenye katiba lakini haikutolewa katiba mpya ilibaki ileile hadi mwaka 1977.Asante mkuu...vp mwaka 1965 Baada ya J k nyerere ku abolish multiparty system(TANU, UTP, AMNUT, ANC) na kubakiwa na single party system(TANU). Je hapo katiba haikufanyiwa marekebisho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna toleo linaitwa interim Constitution yaani katiba ya muda ya mwaka 1965. Hii ni katiba inajitegemea.Asante mkuu...vp mwaka 1965 Baada ya J k nyerere ku abolish multiparty system(TANU, UTP, AMNUT, ANC) na kubakiwa na single party system(TANU). Je hapo katiba haikufanyiwa marekebisho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, mwaka 1965 yalifanyika mabadiliko kadhaa kwenye katiba lakini haikutolewa katiba mpya ilibaki ileile hadi mwaka 1977.
Hapana hii ya mwaka 1965 ni katiba inajitegema. Inaitwa interim constitution of 1965. It is also known as one party constitution.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna toleo linaitwa interim Constitution yaani katiba ya muda ya mwaka 1965. Hii ni katiba inajitegemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu katiba ya mwaka 1964 ni katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania . Ya mwaka 1965 Iliitwa Interim constitution. Kwa iyo inafanya kuwa na jumla ya matoleo matano ya katiba tangu tupate uhuru.Hapana nyie ndio mnachanganya, Interim Constitution ni hiyo na mwaka 1964, mwaka 1965 ilikuwa modified.
1964: The Interim Constitution of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar 1964
(the Union Constitution) was established.
1965: The Interim Constitution was modified. It formalized the one party state and reenacted
all changes brought about by the Union.
1965-1977: Several amendments were made to the Interim Constitution before the
permanent Constitution was adopt