Recent content by hodi hodi

  1. hodi hodi

    Utamuoa/olewa na yupi kati ya hawa wanne?

    Wrote ni mtihani yakhee
  2. hodi hodi

    Mke mwembamba mrefu mweupe anahitajika

    Mwanamke mweupe hata ulaya sidhani kama atapatikama
  3. hodi hodi

    Mnyama anapotambua dhima ya mwanausalama

    Ameona ni marafiki zao huoni hata barabarani michoro ya rangi zake hutumika Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  4. hodi hodi

    Mapumziko ya Rais Magufuli Chato ni fundisho

    Tanzania yetu rais magufuli Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  5. hodi hodi

    Naomba ufafanuzi: Upendo Peneza kwenye ziara ya Waziri Mkuu Ruangwa

    Ni muda wa kuijenga vema Tanzania yetu ucha dema hauna nafasi Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  6. hodi hodi

    Fahamu kuhusu bei za mazao mbalimbali katika maeneo tofauti ya Tanzania

    Nimelima ufuta wanajukwaa huko kilwa anaejuwa bei naomba kujulishwa kwa sasa niko dar
  7. hodi hodi

    Tangazo: Wananchi wa Jimbo Singida Mashariki wanatangaza kupotea kwa Mbunge wao

    Umbeya tu atarudi wakati wa kampeni muacheni ale vyake
  8. hodi hodi

    Natafuta rafiki mwanaume

    Njoo pm labda nitakufaa
  9. hodi hodi

    Aliyetoa maoni "Acha Wafe" kwenye habari ya kuuawa askari 8 atiwa mbaroni Mbeya

    Halafu kulikoni mbeya? Jitu halina hata chembe ya huruma
  10. hodi hodi

    Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Nakupongeza tumainiel, nchi inapopita ktk matengenezo makubwa wengi hawaelewi wanabaki ktk malaumu kwa rais, hasa nyumbu, namuamini rais wangu na yote yanayo tokea au kutendwa nae yako ktk mpango maalum lengo lake atupumzishe toka dhuluma za wanyonyaji na nchi baadae aiache salama
  11. hodi hodi

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Daah hakika nimeusoma ujumbe wako hadi napitia baridi
  12. hodi hodi

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Hivi shilawadu makao makuu duniani ni wapi au ni Tanzania,
  13. hodi hodi

    Mrejesho: Nimepata mchumba

    Umepata rafiki au mume
  14. hodi hodi

    Ukipata nafasi ya kuzungumza na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, utapenda kumwambia nini?

    Ningemwambia asijitie mjuaji nchi hii inaongozwa na viongozi makini sana chini ya Chama makini ccm
  15. hodi hodi

    Wema sepetu anaweza akapata hadi Tsh billion 1 kwa mwezi.

    An a many gas gani kwa nchi huyo wema wenu analipa kodi
Back
Top Bottom